Hii ni kweli, mtu ana mkewe wote wanafanyakazi na wana mtoto mdogo wa mwaka na nusu,kwasababu nyumbani hakuna house girl mkakubaliana kumpeleka kwa mtu aliyetayari kukaa nae kuanzia asubuhi mpaka...
Mimi ni mvulana wa miaka 23, nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) mwaka wa kwanza nikuchukua degree ya Uhandisi/Engeneering.
Natafuta rafiki wa kike wa kuweza kushauriana vitu mbalmbal vya...
Natafuta mke wa kuoa,mimi naishi Dar es salaam,umri wangu ni miaka 30,mke ni mtakae awe mweupe,awe ameajiajiri,mwenye nidhamu safi,umri wake 25-35.
Mimi sina elimu kubwa, ambae ana utayari andike...
NIMEICOPY MAHALI
Kijana Joseph ambaye sasa ni marehemu,enzi za uhai wake alibahatika kuwa na kazi nzuri kabla ya kuoa.
Baada ya kuoa miaka mitano ya kwanza akabahatika kuwa na watoto mapacha wa...
Habari zenu.
Naomba kusikia mawazo yenu katika hili ndugu zangu. Hivi inapotokea ukagundua ndugu yako (dada yako - mtoto wa kaka wa baba yako, ndiye adui yako katika jambo fulani linalohusu...
Niliwahi kumnunulia msichana mmoja kitanda (alikua ni mwanamke wa kujirusha nae siku namtaka) lakini nilipokuta njemba limejipunzisha kwenye kitanda nilichonunua mimi nilikata miguu kwenda pale na...
Natafuta mwanamke Muislam wa kuanza nae uchumba,Mimi ni kijana mwenye umri 22,nafanyakazi serikalini na sina mtoto.
Sifa za ninae muhitaji:
-Awe Muislam.
-Awe ajazaa.
-Umri 18-22.
-Elimu kuanzia...
Jamani naomba mniambie kama wanapendana hawa au tamaa ya kwenda marekani?Huyu Mnigeria amefanikiwa kupata hicho wanachokiita green card kwa kwenda kuishi na mwanamama huyu wa kizungu kama mkewe. ,,
Ok Ok Ok !!!!!
Nipo hapa kwasababu nakosea na kurekebishika, pia huwa naweza kuchambua na kujua udhaif wangu hii hunisaidia kukubliana na changamoto fulan katka maisha!!
Ok bak to topic ma...
Kama ndio, how does it turn to be. Na kama siyo, nini kimekusimamisha kuto kufanya hivyo.
Though, kiutamaduni imezoeleka mwanaume ndiyo mwenye kumuomba mwanamke out.
Let see how it turn out to be...
Ndugu dada/mwanamke ambae kwa njia moja au nyingine umekosa kupata mtoto kwa mwanaume uliyenaye/uliyekuwa naye kutokana na matatizo yake labda ya kutokomaa kwa mbegu au vipi, njoo nitakupatia...
Nusu ya wanawake huwa na mpango mbadala ama wa kando ambao wanaweza kukimbilia iwapo uhusiano wao utaharibika.Utafiti uliofanywa miongoni mwa wanawake 1000 uligundua kuwa asilimia kubwa imeweza...
Habarini wadau.
Mimi wakati mwingine nashindwa kuelewa hizi body language,hivi mwanamke akicheka wakati unapomtongoza maana yake ni nini, je hiyo ni dalili nzuri ya kukubaliwa.
Kwasababu juzi...
Naona wimbi kubwa la vijana wa kizazi hiki, mtu akipata kazi tu cha kwanza mkopo wa gari, tatizo nini vijana? sio wote ila majority wanakuwa na imagination za ajabu kuwa status imepanda!! hivi...
Habari wana Jf na wana MMU,nimekuwa mfuatiliaji wa jukwaa hili kama guest kwa miez kadhaa sasa na kiukweli kupitia humu nimejifunza na kujikosoa mengi kuhusu mapenzi na moja ya member niliowapenda...
Wanawake wenye sura kama hiyo hapo juu wengi kimaumbile ni wazuri kiasi na wana mvuto wa kike na hasa kama wanajiweka katika hali yao ya asili. Wanapoingia kwenye kujivuruga kwa madawa, mikorogo...
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwanini dada zetu hupenda kuhongwa na muda mwingine unakuta ana kazi na kipato cha kujitosheleza lakini hwaridhiki.Nini tatizo wana jamii forums.
Kuna hii mbinu nimeona niwaletee sidhani kama itawafaa ila nimeona matokeo yake.Kama unaishi mjini na mwanao anakaribia kuanza shule, kwa namna yoyote ile utakua na ndugu yako kijijini, mpeleke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.