EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,117
Hii ni kweli, mtu ana mkewe wote wanafanyakazi na wana mtoto mdogo wa mwaka na nusu,kwasababu nyumbani hakuna house girl mkakubaliana kumpeleka kwa mtu aliyetayari kukaa nae kuanzia asubuhi mpaka saa nane, maana mda huo mama ake anakuwa anarudi toka shule maana ni mwalimu,matokeo yake akienda mpitia mtoto anakaa hapo mpaka usiku saa 3 usku ndo anakuja home wakat huo mmewe kasharudi.
Ikatokea mwanamke kaanza enda soma eti mvimauta kule kwa gamanywa kila sku akitoka shule anaptlizia huko mpaka saa 4 had 5 usiku mmewe kamkataza kwa maelezo kwamba kazi anayo pia, mtoto atakaa huko kwa watu mpaka mda huo kweli pia mmewe akirudi ajipikie au mke kakaidi kaendelea, ikabdi mume awe akitoka kazini anampitia mtoto akifika aanze kumpkia mke akirudi usiku saa 4 au 5 ni kufka na kulala.
Mme huwa anamtuhumu ana mwanaume nje but mke hajawahi kukanusha,siku moja mume kamwambia mkewe kesho ukienda huko ulale huko mke kakubali na alienda karudi saa 5, jamaa kagoma mfungulia mke kaondoka kazulula sijui wapi karudi tena saa 8 us,ku kagonga mume, kibinadamu kamfungulia akamuonya tena lakini bado haelewi anaenda tu,wana chumba na sebule unambiwa nyumba ni chafu mpaka nguo za ndani za mwanamke zimezagaazagaa room plus nguo chafu za mtoto na za mwanamke,sebuleni ndo balaa kumejaa vyombo vichafu mume akmwambia mkewe kufanya usafi anasema hana mda.
Je jamani kwa mtindo huu mnashauri mwanaume achukue hatua gani.