Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

Janerose

Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
26
Reaction score
4
Jamani kwanini mimi sipati mwanaume ninaependa awe mume wangu wa maisha anipatie watoto watatu! wote wanaonijia wana pritendi ila sio, nifanye nini?
 
si wewe unaetaka mwanaume wa kukufanyia shopping kutwa?
 
omba mungu utampata tu ila usichague chague sana
 
Oops!
Yawezekana uko too selective! Wewe zidi kuchelewa, utazeeka siku si nyingi na hao wanao pritend hutawapata tena asilani.
Safari njema kuelekea uzeeni mkuu!
 
hujatulia wewe ndo maana hupati mwanaume, unajua wanaume ni wajanja sana, wanaangalia wanawake wanaooleka, tatizo ni akina dada wao wanadhani wakati mwingine kuwa nusu uchi ni kumfanya mwanaume ampende! na hii imewacost sana dada zetu, fanya utafiti kwa mfano angalia wanamuziki wetu wa kitz wanaongoza kwa kuvaa nguo chini ya ------ na hata ukiangalia video zao huonesha akinadada wamekaa nusu uchi kama ishara ya maisha ya mjini, ila ukiangalia wakati wa kuoa wanaenda kuoa bush, kwa hyo dada zetu muache kujidanganya mtaishia kuwa usee kila cku.
 
Suala la ndoa sio la kufanyia majaribio

Pia ndoa inawahusisha watu wawili

Anaeoa na anaeolewa

Hawa wote wanatakiwa wajue wanahitaji nini

Pia kuna suala la utayari wao wanaooana

Kwenye suala hili inaonekana tatizo ni wewe

Hebu niambie ni kitu gani unahitaji kutoka kwa huyo mume?
 
We una mambo mawili
-Ulichagua sana, sasa unachaguliwa
-Unatoa nafasi kwa wengi kukula uroda,sasa kila mtu anakuona hujatulia,

Subiri wauza mahindi wakitoka kijijini ambao hawakujui,uwabane watangaze ndoa haraka,La sivyo utakuwa bibi muda sio mrefu
 
duh wanaume walivyo wengi lakini ni wachache wanaotaka kuoa,hivyo inakubidi upunguze vigezo vingi ulivyojiwekea kwa kuangalia vile vya msingi tu,naamini utampata size yako lakini kama unajenga maghorofa ndotoni ukisubiri yatimie bado utakuwa na safari ndefu.Kila la kheri.
 
Jamani kwanini mimi sipati mwanaume ninaependa awe mume wangu wa maisha anipatie watoto watatu! wote wanaonijia wana pritendi ila sio, nifanye nini?

Jiamini, Vumilia, Jithamini, Jiheshimu, Jipende, endelea kufanya kazi na kujitunza utampata kwa wakati wake, Hayo mambo hayataki haraka na wala hayaharakishwi, Ukiforce utaingia pabaya. Usichoke kujiombea pia!
 
Nadhani wengi wamekupa ushauri mzuri, ukifanyia kazi kila ulicho shauriwa
basi utakuwa katika nafasi nzuri ya kupata mume dadaangu, mimi nakushauri
upunguze kuchaguachagua sana
 
Jiamini, Vumilia, Jithamini, Jiheshimu, Jipende, endelea kufanya kazi na kujitunza utampata kwa wakati wake, Hayo mambo hayataki haraka na wala hayaharakishwi, Ukiforce utaingia pabaya. Usichoke kujiombea pia!

Oops!
Sasa kama huyu mdada atakuwa anakiribia 40, yaani azidi kuvumilia tu na kujiheshimu hadi lini mkuu? Wakati mwingine we have to strike the nail down to the head.
 
Nungayembe Mnadani, kama vp anzisha utaratibu wa Stakabadhi ghalani kuwabaini matapeli wa nyuchi!
 
Back
Top Bottom