Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1.Unamtaka msichana wangu halafu unaanza kunipaka na kunichafua Gentamycine kwake. 2.Nina urafiki na wewe tena wa muda mrefu tu lakini huniambii kama msichana fulani wa kitaa au ofisini ni wako...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kumekua na tabia ya watu kulalamika oh mara sipendwi oh sifanyiwi hivi but ooh mapenzi hamna siku hizi na bla bla nyingi. Mimi ninavyofahamu mwanamke zamani alikuwa hana sauti kwa mwanaume na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1.Kissing your man is not a problem, The problem is how you do it. Stop making sounds like a car crash. 2.Screaming during sex is romantic and its not a problem, The problem is screaming and...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa umri miaka 25 nina cheti cha form 4,nimepanga chumba Usagara kwa sasa sina ajira nipo nasaidiwa na ndugu zangu nahitaji mke ambae tayari anayo kazi ili tuweze saidiana majukumu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
naomba msaada kwa wadau na kwako zeze pia, mimi ni mwanamke ,niliye katika ndoa kwa miaka 6 sasa, na nimebahatika kupata watoto 2 tayari. ila nina tatizo kubwa saana kwenye ndoa yangu, kutokana na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ni wakazi wa Misheni, jijini Mwanza na Sakata linaloendela hapa ni Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Naomi Peter akimshushia kipigo kikali mumewe John Shila mchana kweupe kwa madai kuwa toka ndoa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna hii tabia wanawake wanaact kama masela, namna kuongea,kutembea body structure ya kiume kula mirungi ,fegi,hata pamba zao, kwani mwanamke kivaa uhusika wake aringie/atumie sauti yake nzuri...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Mimi ni kijana raia wa tanzania elimu yangu ni degree moja. Naishi Dar es salaam. Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 20 mpaka 30. Elimu yake angalau form four.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya jumatatu wanajamii wote haswa wa MMU, Jumatatu ya leo ningependa kuwapa dedication wale wote wapendanao, na wenye mapenzi mema kwa wenza wao Chek huu wimbo wa Shania Twain, kwa mie...
17 Reactions
372 Replies
22K Views
Jamani wadada wa kibongo,kama wewe ni mdada upo ulaya na upo single au married but you have complicated relationship naomba tuwasiliane jamani. Maana na mimi nipo huku kwa muda na nawish kuwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sio kila ex wako anayeomba mrudiane anamaanisha, wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo cheap na huna misimamo wala future. Mtu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
He want us to be just friands, Iam chained by my own sorrow, I don't have the courage to carry all this pain in my heart. Please save my soul tel me what to do.
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Nilikua na mpenzi kipindi nipo form V na baada ya kuhitimu form VI aliniambia yeye anataka aolewe nikamwambia nijambo jema ingawa namjua mtu anaetaka kuoana nae kwani nilisha ambiwa. Ilipiata...
0 Reactions
77 Replies
10K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili la MMU, bila shaka mu buheri wa afya na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku za kujenga familia na taifa kwa ujumla. Lengo la huu uzi wangu ni kutaka kupata...
2 Reactions
71 Replies
11K Views
Habari wanajamvi. Jana huku kwetu Arusha maeneo ya stand ndogo ya magari nikakumbana na mwanadada anakula ile mizizi ya kuongeza nguvu ya kugegedana. Nilidhani ni kwa wanaume tu kumbe hadi kwa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari wana jamvi. Mimi ni kijana nina mahusiano na msichana mmoja yapatayo mwaka sasa. Lakini ghafla amesitisha mawasiliano baada ya kunitumia meseji akiniomba nimpatie dressing table yangu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
nimekuwa nikiwaziaga sana abt watu flani flani katika jamii na leo niliposoma comments za naima , yo yo kwenye big brother thread nkashawishika kuuliza wana jamii forums kwa ujumla abt it.. it...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi. Wazazi wangu wanataka kurudisha mahari kwa mchumba wangu kisa imani tofauti za kidini, kinachonipa wakati mgumu ni kwamba mwanzoni walikubali kupokea kisa nilikuwa...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Kuna wakati unajiuliza maswali mengi sana na unakosa majibu yake na kuna wakati umejikuta unajua majibu lakini hakuna swali lake. Katika maisha ya kila siku kuelekea kwenye hatima kuna wakati...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Hey guys eti mwanamke ana uwezo wa kukaaa muda gani bila kushiriki tendo la ndoa? na mwanaume je?
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom