Pata mtoto kwa gharama ndogo

Pata mtoto kwa gharama ndogo

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,457
Reaction score
699
Ndugu dada/mwanamke ambae kwa njia moja au nyingine umekosa kupata mtoto kwa mwanaume uliyenaye/uliyekuwa naye kutokana na matatizo yake labda ya kutokomaa kwa mbegu au vipi, njoo nitakupatia mtoto kwa gharama ya kupima afya yako tuu. Ukipata mimba utaendelea na taratibu zingine za malezi na matunzo yote ya mtoto atakayezaliwa, kumbuka hili litawekwa kisheria kabisa usiwe na wasiwasi. Kwa atakayehitaji ani-PM.
KARIBU SANA.
 
Hapa una mikataba ya aina ngapi, kutokana na hii huduma unayotaka kutoa mkuu?
 
Ndugu dada/mwanamke ambae kwa njia moja au nyingine umekosa kupata mtoto kwa mwanaume uliyenaye/uliyekuwa naye kutokana na matatizo yake labda ya kutokomaa kwa mbegu au vipi, njoo nitakupatia mtoto kwa gharama ya kupima afya yako tuu. Ukipata mimba utaendelea na taratibu zingine za malezi na matunzo yote ya mtoto atakayezaliwa, kumbuka hili litawekwa kisheria kabisa usiwe na wasiwasi. Kwa atakayehitaji ani-PM.
KARIBU SANA.
We piga puli halafu wapelekee hayo mambegu tu..
 
Sasa wewe unafaidika nini? au nia yako ni kugonga tu mbunye kirahisi kwa kutegemea matatizo ya watu?
 
kuna dawa anatakiwa kutumia au akishapima afya na mtoto anatokea sitaki kuamini namna mpya ya maambukizo
 
Hii ni janja tu ya nyani kutaka kula hindi bichi...

Hahahahahaaa....!
Uhakika wa hivyo upo!
Ndio yale yale uliyosema "...sometimes epusha watu kuchukua furaha/hisia zako..."
tumeshazoea vibaya! Alikuwa aseme tu atatoza hata Tsh. 2,000/=!
 
Hahaha...na usishangae ukisikia wapo watakaojipeleka kwa maneno hayo tu machache ndugu yetu aliyoyaandika
 
jamani ni kheri amekua muwazi kuliko kuiba vya watu akina Dada mnaopenda vikongwe kwa ajili ya pesa afu wazee wetu ktandan bureeee, muezeshen mtanzania huyoooo mjasiriamali
 
Wonders shall never end ooooooo

Fursa fursa .. Source: ruge
 
Back
Top Bottom