1men in million boys
Member
- Aug 13, 2013
- 17
- 3
Habari wana Jf na wana MMU,nimekuwa mfuatiliaji wa jukwaa hili kama guest kwa miez kadhaa sasa na kiukweli kupitia humu nimejifunza na kujikosoa mengi kuhusu mapenzi na moja ya member niliowapenda zaid kwa mada zao ni huyu anajiita Lara shukrani ziende kwake pia.na kikubwa nilichojifunza ni kuwa..dunia ya sasa..mapenzi bila pesa hayanogi kabisaa
Turudi kwa kilichonileta sasa,me ni kijana mtanzania naishi Tanzania ilipo(dar es salaam)miaka kadhaa nyuma nilianzisha mahusiano na binti mmoja kipindi hicho nikiwa chuo..kiukweli kabisa me ni moja ya wanaume wchache ambao hawaamini kama kutembea na mabinti wengi ndiyo uanaume,naamini katika mapenzi ya kwel na uaminifu japo dada zetu ukiwa hivyo unaonekana zoba..so yule bint sikuanzisha mahusiano kwa nia mbya ya kupoteza mda wake..siku zote nilikuwa mwanamume kwake nikimwonesha mpenzi yasiyochakachuliwa na nilimpa reason zote za kuwa proud of me coz mapenz nilikuwa/niko nayo,u jento men nilikuwa/niko na mwonekano mzuri tu wa kiume isipokuwa nilimis kitu kimoja tu..pesa mana ndiyo kwanza nilikuwa mwanchuo na bada ya mda huo ndiyo ukawa mgogoro wetu kila mara ingawa nilijitahid kumpa kulingna na kidogo nilichokuwa nacho but hakuwa akilizika .alitaka mambo makubwa tukitoka nimpeleke viwanja vya hali ya juu but uwezo huo sikuwa nao na mwisho wa siku uhusiano ulifikia mwisho baada ya yeye kumpata aliyedhani anamtosheleza shida zake.
Nilipitia kipind kigum cha maumivu ya kuachwa na baada ya muda yote yalipita na maisha kuendelea mpka nilipomaliza,huwa najiskia hurum sana baada ya kusikia kuwa yule dada alipigwa mimba na kutoswa na mwanamume wake..saivi analea ningeweza kusahau yote na kumrudia but ndiyo hivyo ni bint ambaye pesa ndiyo kila kitu kwake then mapenzi na mimi nilitaka/nataka mtu wa kudum nae tukapendana kweli
.nikiwa na miaka 24 sasa nilishamaliza chuo na baada ya kupita kwenye kampuni kadhaa hatimae nimepata kazi nzuri na ya ndoto zangu naweza kumudu kuendesha maisha yangu naya yule ataaekuwa ubavu wangu ingawa napenda zaid independent women..swali ni nani atakayekuwa by my side?mwaminifu,mapenzi,awazae future na atakanitia moyo when am down?atakayenisaidia kutimiza ndoto za kuwa na maisha mazuri kati yangu na yeye,atakaenitia moyo nikikosa na si kunikimbia?
ukiwa na sifa hizo ukaongeza na hizi:
mwembamba na si mnene.miaka 24 mpka 19.asiye tegemezi sana/mwenye kazi yake or kiwango chochote cha elim ya juu.. not std 7 or chn ya form 4 basi utakuwa unanifaa sana
.ukiahindwa kuni PM hii ndiyo namba yangu.
0683069624
NB:Usiulize kama mtaani kwetu nimekosa sababu mda mwingi niko bize na kazi yangu nakosa mda wa kutafuta tafuta..pili ofcn nilipo wote wana watu wao.asante