Je kwanini wanawake wengi hupenda kuhongwa?

Je kwanini wanawake wengi hupenda kuhongwa?

kibunange

Senior Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
165
Reaction score
148
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwanini dada zetu hupenda kuhongwa na muda mwingine unakuta ana kazi na kipato cha kujitosheleza lakini hwaridhiki.Nini tatizo wana jamii forums.
 
Tafuta hela mkuu! ukiwa huna kitu mawazo kama hayo maswali na majibu yatakusumbua sana.
 
Anataka ajisikie kila wakati zaidi ya kuwa nacho, na madhara yapo baada ya shot tm
 
Starehe ili ikamilike inabhusisha vitu vingi watu pia now kila body ina ulinzi wake. au dawa zipo??
 
kibunange

Tukuulize wewe kwanini unapenda sana kuwahonga pesa akina dada?
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu humu JF kauli mbiu yake ni "mume/mpz bora ni yule mwenye uwezo wa kutoa matumizi ya mwenza wake na chenji ikabaki.
 
wana jamii forums hatuna tatizo labda tuulize wengine
 
Kwasababu ni asili ya mwanaume kutoa na ya mwanamke kutoa. Angalia hata siku mwanamke akitaka kulipa bill or kitu chochote wakiwa na mwanaume, atampa mwanaume hela alipe. Wanamke yupo radhi akupe hela yake halafu umrudishie kwa kumhonga.
 
Tumeambiwa tutawatawala kwa hiyo hayo mambo kiasilia yako hivyo ila hapo nazungumzia kama ni wife ila kwenye uchumba na mengineyo sijui sasa,,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom