Waungwana nisaidieni

Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,559
1,272
Mke wangu anataka kwenda ukwen kibaya nguo za vitenge nipen msaada aina za mishono ya kisasa
 
Mke wangu anataka kwenda ukwen kibaya nguo za vitenge nipen msaada aina za mishono ya kisasa

zimefanyaje!!!!!!!si aende kwa hawa mafundi cherehani mbona kule kuna mishono ming

au madesigners pia.......akiingia online na kusearch vitu ni ving sana!!!!!!!
 
eee we kweli umepoteza dira,hadi nguo za mkeo unatafuta ushauri?eboo
 
punguza munkari mzee munkari nguo za vitenge hana kajaza misurual tuu hebu toa msaada

mmh! Okeey! Kwani lazima avae minguo ya vitenge aagh! Do not complicate like that banaa! Labda kama hana za kujifunga! Mbona madukani kuna nguo nzuri tu tena za heshima kabisa kamsaidie kuchagua!
 
Ila kunawatu mnachekesha sana teh teh the!! Yani kushona mishono uje kuuliza huku? Kwani huyo mkeo mafundi chereani hawaoni huko mitaani?
 
Mke wangu anataka kwenda ukwen kibaya nguo za vitenge nipen msaada aina za mishono ya kisasa

sasa mzururaji kuzurura kote huko hujabaatika kuona mishono ya vitenge mpaka uilete huku kweli!kwani alivyoenda mara ya kwanza kutambulishwa alivaa nin?
 
Yaani unaoa mwanamke ambae hata nguo ya kuvaa ukweni inabidi umtafutie msaada wa ushauri? Kwani hana marafiki zake wadada ashauriane nao? Si atakuwa anakutegemea kwa kila kitu?

Aisee, kila mtu na msalaba wa aina yake! Mwanaume kama wewe unaingilia hadi upangaji wa vyombo jikoni? Glass zikae kulia sahani kushoto?
 
natumaini saivi anazo nguo za vitenge za kutosha mkuu au alishaziweka kapuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom