Mwanamke Muislam anahitajika

Mwanamke Muislam anahitajika

raamar

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
252
Reaction score
23
Natafuta mwanamke Muislam wa kuanza nae uchumba,Mimi ni kijana mwenye umri 22,nafanyakazi serikalini na sina mtoto.

Sifa za ninae muhitaji:

-Awe Muislam.
-Awe ajazaa.
-Umri 18-22.
-Elimu kuanzia IV na kuendelea.
-Awe ameajiriwa au amejiajiri zingatio please
Awe mcha Mungu.
-kabila lolote


Mwenye hizo sifa anaweza akantafuta kupitia mawasiliano haya hapa.


ismailymahmoud@gmail.com

Asanteni.
 
unataka ukumfanyie nini huyu muislamu najui kuna kimchezo kinaendelea
 
mshaaanza mambo ya ku pm teeeena
 
Kwani anatomy ya mwanamke wa kiislamu iko tofauti na wengine? Ubaguzi tu huo. Mbona mnasarandia wasiokuwa waislam kwa bidii sana?
 
Kwani anatomy ya mwanamke wa kiislamu iko tofauti na wengine? Ubaguzi tu huo. Mbona mnasarandia wasiokuwa waislam kwa bidii sana?

ndyo maaana nimetoa sifa kuwa ni muislam kwa sababu watakuja wengine wakristu then wataanza usumbufu kusilimu huwa hawataki,sina ubaguzi ndugu yangu
 
Back
Top Bottom