Ni mapenzi au tamaa ya kwenda marekami? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mapenzi au tamaa ya kwenda marekami?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Calnde, Oct 10, 2008.

 1. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba mniambie kama wanapendana hawa au tamaa ya kwenda marekani?Huyu Mnigeria amefanikiwa kupata hicho wanachokiita green card kwa kwenda kuishi na mwanamama huyu wa kizungu kama mkewe. [​IMG],[​IMG],[​IMG]
   
 2. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna picha za hao wandugu im trying to upload them
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Oct 10, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Dada calde - zamani wakati ninachat kule darhotwire kuja kijana alikuwa anaitwa books alikuwa yuko nchini uingereza sasa alienda kwa kuzamia huko sasa akakutana na jimama cb wa znz akamuomba uchumba mara wakakubaliana kufunga ndoa huyo cb alikuwa ni mtoto wa kidogo kwahiyo kutokana na ukigogo wake akamfanyia mipango books akapata pasi bandia akaweza kurudi nchini na kufunga ndoa na huyo dada cb

  baada ya ndoa -- books akakataa kuendelea na jimama alichokuwa anataka yaani kurudi nchini alishapata na ameshafika nchni alichochuma majuu sasa anakiendeleza anaduka maarufu pale millenium towers

  kwahiyo wakina dada na wakina kaka jifunzeni sana mambo haya haswa hawa wanaojifanya wanataka wake na waume kwa njia ya mtandao wengi wanakuwa na vitu wameficha nyuma ya panzia
   
 4. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe kwa nini uko so fast in concluding sex za watu?cant you even think twice before posting hata useme kaka/dada?
  Shy there are some few things that you need to think and not be told!
   
 5. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  'Dada calde'
  Shy,how comes una ni address kama 'dada',Are you sure mimi ni dada?Do you want me to start both criminal and civil case?For sure this is Crime against humanity!
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hahahaha mbona mkali........
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Oct 10, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kama umeitwa kaka au dada uchune tu ukihangaika then unafanya watu wakujue unapost chache wewe ni mgeni watu wanataka wakujue so unachokozwa shauri zako jifunze ya dunia
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2008
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mh! huo uchokozi mimi naona umevuka mipaka, ya mwanaume kuitwa dada ni zaidi ya uchokozi.. Unaonaje kama kweli ulikusudia kujua jinsia yake ungetumia viashirio kama Kaka/Dada ili yeye ajitambulishe ni wa pande gani kati ya hizo?

  Anyway Pole sana Mdau uliyebandikwa jinsia iliyo kinyume na hali halisi!
   
 9. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Mhh mbona unamikwara kiasi hicho dada punguza makali kidogo
   
 10. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yoyo niambie naona dada kaja juu kidogo au sioo lakini swali lae pia ni zuri
   
 11. F

  Fisadi.Jones Senior Member

  #11
  Oct 11, 2008
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usiusemee moyo. Nadhani kama wanapendana ama la wanajua wenyewe.

  Swali zuri labda kama wewe ndio ungekuwa umepata zali kama hilo na uende kuishi na hilo jimama, ungeacha kwenda? Hata kama inamaanisha ndio kuaga umaskini wa kwene bongo?

  Au kama wewe ni demu, umevutwa na mshakaji yuko mitaa inayowaka taa full time na hakunaga mgao, na unajua humzimikii mshkaji, ungethubutu kuacha kwenda?
   
 12. MankaM

  MankaM JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2015
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 9,493
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  ni mapenzi bana ulitaka uende wew?????
   
Loading...