Mume nipo hapa

Mume nipo hapa

Account

Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
8
Reaction score
1
Natafuta mke wa kuoa,mimi naishi Dar es salaam,umri wangu ni miaka 30,mke ni mtakae awe mweupe,awe ameajiajiri,mwenye nidhamu safi,umri wake 25-35.

Mimi sina elimu kubwa, ambae ana utayari andike namba yake cause aki Pm haina uwezo kumjibu mpaka 5 post kukamilika kwenye account yangu.
 
wasubiri watakuja wake waliopo hapa, nilivyoona tittle yako nikajua yale matangazo ya waganga wapo hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom