Wanajamvi.
Ni vizuri hili suala lieleweke wazi kwa wote hasa wale ambao bado kuoa au kuolewa.Ndoa ni makubaliano ya hiari kwa wawili,ni mapatano na agano la kuanza kujenga himaya yenu mpya...
Habari za wakati huu wana jamvi,nayazungumza haya kwa uzoefu.
Inasemekana kwamba asilimia kubwa ya wanaondoa hawa-enjoy maisha yao ya ndoa kwa sababu kadha wa kadha, wengine wakidai kuwa ndoa...
Jana jioni nimepigiwa simu na jamaa mmoja inaonekana ni mtu mzima hivi kutokana na sauti. Tukasalimiana kistaarabu tu akaniambia wewe si Bakari nimjibu sio utakua umekosea namba,but kang'ang'ania...
jamani jamani niko kwenye upweke usiopimika. natafuta rafiki jinsia ya kiume mwenye uelewa wa maisha na mstaarabu asiwe na majigambo. nahitaji mtu wa kubadiishana naye mawazo ya kimaisha, taaluma...
Kwenu mnaotafuta mke wa kuoa!
Miaka ya nyuma, kijana hakuwa na kazi kubwa saaana kutafuta mchumba tena kwa vigezo avitakavyo mwenyewe.
Kigezo cha uchapa kazi, usomi, hata mwonekano/wajihi...
Sehemu ya Kwanza
EEE bwana sawa mimi nimekuelewa, lakini Juma inabidi hii issue iende fasta fasta si unajua washikaji kibao wanavyohaha kuhusu yule mtoto?" alisema John akimwambia rafiki yake...
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka...
Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na...
Hebu wanaume watoe experience zao. Maana kiukweli ya kwangu hasa kwa wenye sura na shepu ni mbaya behind the doors. Hakuna kujituma, yani wavivu sio wavivu, wategeaji sio wategeaji... yani...
Kuna mkaka huwa simwelewi jamani ana wanawake wengi kweli ninaowajua mimi ni wa nne, kuna kipindi alikuwa yuko mkoani huko alikutana na mwanamke pia alimpa ujauzito,hapa Dar es salaam alikuwa...
Binti mmoja mrembo mwenye shape ya nguvu,amekutwa kajinyonga mpaka kufa. Watu wake wa karibu wanasema kuwa binti huyo amefikia uamuzi wa kukatisha maisha yake kutokana na kugombana na mpenzi wake...
Salaam,
Kati ya wajawazito 20 wanaofika hospitalini kwa ajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana katika private hospital.
Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda Kijiji cha...
Habari wandugu.
Miaka miwili nyuma nlikua na mpenzi wangu ambaye tulishafikia stage ya uchumba alifahamika kwetu kama mimi nlivofahamika kwao.
Siku moja tulifarakana kidogo kam ilivo kawaid ya...
Mwazoni tulipendana sana kiasi kwamba 2liweza kuongea hata kwa masaa 3 bila kuchoka , alinipigia cm kila cku , saiz kupokea message yake ni mpka nimtumie ndo anijibu ,mara ya mwisho kanipigia cm...
Habarini somo husika,unapokuwa unatafuta rafiki wa kuchati au kubadilishana mawazo kibiashara kwanini mnaenda outside of topic after PM.
Na mnaotafta wachumba kwanini hamfatilii taratibu za...
Inashangaza sana hawahawa wasichana wanaotukana wanaume wakiwatongoza,wasipotongozwa ndio hukesha kuzunguka kwa waganga huko wakiwa wanatafuta mvuto.
Hivi inakuaje msichana kuna mtu amempenda...
Katika utafiti nilioufanya Mimi binafsi,nimegundua watoto wa kiume hawana fadhila kwa wazazi.Utafiti wangu nimeufanya katika mikoa 2 Dar es salaam na Shinyanga.
Jumla ya wanaume 60 kutoka Dar na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.