Utafiti umeonyesha kwamba'' ni ndoa tu ndio shule ngumu sana kufaulu kuliko shule zote, na ndio maana unapewa cheti chake kwanza' halafu mitihani yake unaikabili baadae. La sivyo ingeanza...
Habari wanajanvi.
Kuna vitu vingi sana vya kufanya ili kudumisha ama kuhuisha mahusiano, hasa hasa mapenzi na kitu kizuri ni kuwa utatumia ile style huku mjini tunasema "flow with the beats"...
Ni muda mrefu sasa toka wife awe away masomoni. Hali yangu ni shwari tu (Not that I am cheating or anything.)Issue inayonitatiza ni kwamba, tangu muda mchache baada ya yeye kuwa huko akawa anapiga...
These are six unusual facts about sex which you might haven't heard them before
1.Complete sexual inactivity may cause penis size reduction.So, if you dont use it, you might actually loose it.
(...
Habari wana JF!
Plz follow this scenario & then give me ur advice.
Mnamo mwezi wa 10 - 2011, nikiwa masomoni, nilimuona bint 1 na nikaanza kumpenda. Mwezi wa 4 - 2012 nikamuaproach, alinikubalia...
Mpenzi
Habari za huko ulipo ?
Najua wewe ni mzima sana , maisha yako ni mazuri tu , hata kama yanautata kidogo nafikiri unajitahidi kuyafanya yawe mazuri zaidi na kama yanatetereka naamini...
Mimi sitaki kusema mengi jamani ila kila mtu anajua mapenzi yanavyoumiza, hebu tupeane njia za kuinjoy mapenzi bila stress.Labda kuna njia ya kuweza kuzuia maumivi jamani, kwa yeyote anayefahamu...
Habari wanajamvi
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29, niliehitimu chuo kikuu mwaka jana ambae sina ajira,pia natafuta mke wa kuoa ambaye atakua tayari kusaidiana wakati wa shida na raha.Ewe...
Habari zenu wanaukumbi.Natumai sote ni wazima, wagonjwa nawapa pole na kuwaombea ponya ya haraka.
Nilipenda kupata mawazo yenu hivi wadada wanapotusaliti huwa wanatufikiria sisi wajinga au vipi...
Hivi juzi juzi baada ya kufunga chuo nilipata kazi kidogo ofisi flan hivi,kama ya wiki mbili hivi.Hii ilipelekea kujuana na wafanyakazi wa ofisini hapo.Picha linaanza kunadada mmoja huwa anapitiwa...
Mapenzi raha jamani, ukiwa naye mmoja mkitembea ufukweni, mkigusana mara mojamkitembeleana kusini, nyingi si mara moja genye ni kugenyezana:A S kiss:, tafuta wako utulie.
Asanteni
Habari gani wana MMU
Kuna jambo limenikera sio mbaya mkalijuwa kama ni kosa au ni sahihi tujifunze kutokana na tukio
Kuna jamaa zangu mtu na demu wake nakunywaga kila siku, ila tatizo wakishaanza...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Jamani mada nzito hii ya leo, kwaresma hii muepusheni shaitwani sio lazima usome huu uzi.)
It always stary with a...
Habari wakuu.
Naomba kuuliza hili swala kuhusu kuangalia picha za pono,Hivi kwanini wanawake wengi wamekuwa hawapendi kuangalia picha za pono.Naomba hili swali lijibiwe na wakina dada na pia...
Mimi ni mkazi wa Ubungo-Dar es salaam kutokana na majukumu mengi niliyonayo nakosa hadi muda wa kutafuta mwanamke hivyo nahitaji mdada mzuri wa kuwanae na nikiridhika nae basi nitamuoa kabisa,umri...
Wanajukwaa naja kwenu kwa upole sana kuomba msaada.Nina mdogo wangu anatafuta mke wa kuoa ana kazi yake inamtosheleza ila yupo Nairobi. Yupo disparate on this na amenishirikisha nimsaidie katika...
Habarini wanajamvi.
Mimi naudhika jamani kama humu ndani kuna wazazi samahani sana, ila mnakosea sana kulazimisha mabinti zenu kuolewa na aina ya kabila fulani.
Kwani mtu anaoa kabila au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.