MAULA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,056
- 171
Hivi juzi juzi baada ya kufunga chuo nilipata kazi kidogo ofisi flan hivi,kama ya wiki mbili hivi.Hii ilipelekea kujuana na wafanyakazi wa ofisini hapo.Picha linaanza kunadada mmoja huwa anapitiwa na rafiki yake kila ifikapo jioni na wanarudi wote cause yeye anausafiri that why humpitia mwenzie na wanarudi pamoja.
Aliniomba no ya simu akidai kina kitu akifka home anataka nimwelekeze na kama atashindwa.atanichukua jioni moja twende tuu nikamsaidie.Lakini alivyonipigia simu na kuongea na mimi ilikua tofauti cause alniuliza maswali ya kimaisha yangu tuu na mi pia niljkuta nikimuuliza kuhusu yeye ila hakunijibu bali aling'ang'a weekend angenitafuta niende kwake.
Ilipofika weekend ukweli nilikua na shauku ya kufika kwake cause nilishaona picha linavyoendelea ananitaka kimapenzi kutokana na jinsi tulivyokuwa tunachati baada ya kumpa no yangu.Kweli weekend nilienda kwake baada ya yeye kunielekeza na nilipo shuka tu kituo cha daladali alikuepo akinisubiri ndani ya gari yake.
Tulifika kwake kwakweli ni mtu ambae amejipanga yupo vizuri cause ananyumba ya thaman na gar 3 za kutembelea ingawa sio za thamani sana.Tuliongea mengi sana kuhusu yeye na mimi pia lakini kuna stori zilinishtua.Aldai anaboifrend ila wametibuana.
Na pia anamtoto mmoja alizaa akati anasoma na walisha achana na huyo baba mtoto.Katka fuatia zangu nilikutana na jamaa wa mitaa ile ya yule dada baada ya kupiga nae stori alnismlia haya.Kuwa yule mwanamke mtu wake ni makubwa mmoja kambi ya jeshi.
Na kunahandsome mmoja alushajipendeza yule mtop akamshtukia wakamtengenezea zengwe mpaka leo yupo gerezani.
na nikamdadisi yule mwanamke akanambia kweli huyo boyfrend wake ni mkubwa jeshini cheo kapuni.Na huyo jamaaa akadai kua walifanya nae biashara akamzurumu ndio maana wakamweka ndani.
My take;
Mapenzi mwisho wake siku zote huwa mbaya.Kama ntaingia tukigombana mi watanfanyaje.Na kama huyo mjeshi akigundua cause inaonekana bihind maisha ya yule msichana ni mjeshi yule kasimamia shoo.Mimi namkwepa wanaJF cause hapa ntayaweka rehani maisha yangu kwani kunajamaa alisha nisimukiaga wanajesh ealisha muuaga mtu nyumbani kwake wakaenda nae kabind na kuact kama amemkuta kwenye msitu wa jeshi akawa hataki kujitambulisha wakamshoot.