Mdogo wangu anatafuta mke

Mdogo wangu anatafuta mke

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,691
Wanajukwaa naja kwenu kwa upole sana kuomba msaada.Nina mdogo wangu anatafuta mke wa kuoa ana kazi yake inamtosheleza ila yupo Nairobi. Yupo disparate on this na amenishirikisha nimsaidie katika hili.

Naomba nieleweke vema. Mdogo wangu yupo serious dini siyo tatizo japo binti akiwa mkriatu ni bora zaidi. Umri siyo zaidi ya 25. Tuwasiliane ukikidhi vigezo dogo anakuja dar mwishoni mwa mwezi huu so kuonana na kuangalia chemistry ni muhimu.

PM kwa mwenye sifa nafadhali.

Naomba kuwasilisha.
 
DALA nikushauri tu kitu kimoja usije ukakwazika na kurespond negatively kwa post ambazo hazitakupendezea! Zingine zitakuwa ni za kuipima hekima na uvumilivu familia yenu kupitia kwako na hasa dogo

Zichukulie poa, na nyingine zipotezee usiyumbishwe ukachepushwa kwa nguvu baki njia kuu na inshallah Mola atakujalieni lililo la haki
 
Teh...teehhh.....teeeeehhhhhh
Mkuu, leo umeongea zaidi ya piacha
Kula 5
 
Last edited by a moderator:
He na mimi mdogo wangu anatFuta mme...tuwasiliane bac
 
Kwanini usingemshauri aje mwenyewe huku??

I smell fishy....😒😒🙅
 
Hivi mpaka leo Bado watu wanatafutiwa wake? Mdogo wako ana mapungufu gani asitafute mwenyewe?
 
Back
Top Bottom