Mwanamke amekuwa akichukua nafasi kubwa katika jamii.Hongereni wanawake kwa siku yenu maalumu ya leo 8th March.Je kuna kipi cha kumwambia mwanamke siku ya leo.
Salaam zenu wandugu
Kuna jamaa yangu anatatizo moja linamsumbua anaomba msaada wa kimawazo toka kwangu,hivo nami bila kusita nmeamua kulileta kwenu ili tuweze kumsaidia sababu humu najua kuna...
Ahadi ya kuwa pamoja maishani katika shida na raha,taabu na shida viapo hivi ama ahadi hizi zinaonekana kuchukuliwa kirahisi mno na wanandoa wapya, lakini kwa mujibu wa utafiti mpya uliotolewa...
Utafiti mdogo nilofanya, watu wengi watu wazima haswa waliozaliwa miaka ya 80 kurudi nyuma, hawana uswahiba na baba zao.Hawawafurahii baba zao wengine wanawachukia baba zao,ingawa hawataki kusema...
Amini usiamini ni feeling ya kipekee sana,utajiona kama unaishi katika sayari yako pekee yako na zungumzia true love. Wachache sana hubahatika kuipata, wengi hukumbana na matamanio ya kijinsia tu...
Habari za weekend
Najitokeza hapa kutafuta yule ambaye atakuwa wangu katika shida na raha, mimi ni mfanyakazi kwenye shirika la umma nina shahada ya juu ya uhasibu umri wangu 31, natafuta...
Wana JF mm ni kijana mwny umr wa miaka 18 na nipo katka mahusiano na mschana flan ambae ni jiran ye2,wkt nkiwa kwny mahusihano nae dada ake alikua hajui k2 na 2likua marafik saana ila baada ya...
It is becoming a common practice for adults to plant kisses on children's lips.
Children enjoy being kissed even when they have no idea what it means. A little baby would smile or laugh when an...
Assume wewe ni kijana wa kiume na unataka kuoa.
Una wapenzi wawili,,, mmoja unampenda saana lakini hana sifa unazotamani mke wako awe nazo,,,, na mwingine humpendi lakini ana sifa unazotamani...
Watanzania Wenzangu Nisaidieni Jins Ya Kuishi Na Mpenz Ambaye Mna Ndoto Ya Kuona Na Mnapendana Xn Mpaka Imefkia Kuuza Na Mtoto Ingawa Huyo Si Wakwanza Kuna Mtoto Aliwah Kuuza Kwahiyo Wa Kwangu Si...
Habari zenu wanajamvi
Jamani mimi mpaka naogopa kuolewa Jamani, I meet this guy ameoa ana watoto watatu lakini anaenda kulala na machangudoa jamani ambao wanatafutiwa na madereva bajaji. Yaani...
Habari wana jamii forums
Wandugu sio siri nahisi na matatizo ya kisaikolojia naombeni ushauri wenu,mimi huwa nikimpenda msichana mpaka huwa nahisi kuchanganyikiwa maana huwa napenda sana kupita...
Mwaka 2014 haukuwa mwaka mzuri kwangu katika mambo ya mahaba. Baada ya kuwa katika mahusiano kwa karibu mwaka 1 La-azizi wangu alinipa makavu "live" tena bila kupepesa macho kuwa hanitaki...
Harusi na viapo visivyotekelezeka.
Ahadi ya kuwa pamoja maishani katika shida na raha,taabu na shida viapo hivi ama ahadi hizi zinaonekana kuchukuliwa...
Kiukweli harusi nyingi za kisasa ni za watu wanaojuana fika . Sasa linapokuja suala la Honeymoon linakuwa kiini macho tu wakati mwingine watu wanaanza kukumbuka guest na hoteli nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.