Wahanga wa usaliti tukutane hapa

Wahanga wa usaliti tukutane hapa

mwakwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Posts
789
Reaction score
291
Habari zenu wanaukumbi.Natumai sote ni wazima, wagonjwa nawapa pole na kuwaombea ponya ya haraka.

Nilipenda kupata mawazo yenu hivi wadada wanapotusaliti huwa wanatufikiria sisi wajinga au vipi? Na upande wa pili je na sisi tunaposaliti tunawachukulia wenza wetu vipi.
 
Mtu anaweza kukupenda and sti kukusaliti the same as to God tunaamini mungu hataki kutenda dhambi and we are stil sin
 
Mm huwa na lengo la kupata vionjo vipya kwa kuwa hata chakula huli hichohicho kila siku
 
I have did it once,na i felt guilty aisee i want to be better than before,cheating is lowfullness!
 
Mbona rahisi tu hapo, Bila kujali wewe ni mwanamke au mwanaume, Usichotaka kufanyiwa wewe, usimfanyie mwenzio!
 
udhaifu wetu binadamu .....mana mambo mengi tunakatazwa lakini tunafanya.....
 
Kawaida anaesaliti huwa ndiye anaelalamika sana akihisi mwenza nae anasaliti tofauti asiesaliti huweza kusamehe mwenza wake anaposaliti. Tunaweza kuepuka usaliti na kutunza heshima zetu
 
Back
Top Bottom