mimi nahitaji Mwanamke wa kuoa awe na umri wa miaka 28-30 Mwenye hitaji 0714679616
Kigezo cha umri kimeni nock out lol
Kigezo cha umri kimeni nock out lol
wee nae umezidi, kila mwaka ukigeuka wee bado tu una kababy face, yaani kama darasa la 6 B vile, anza kuvaa kama bibi, beba vikapu, upate wazee!
hahaha...uko below 28 or above 30?
below....
hahaha...uko below 28 or above 30?
She is 19 years old....Bado mmmaaaaaaaaaaaaaa!!!
Mmmmmh....nilikuwa najipa false hope. At least she could have been 20+ teh teh
Kigezo cha umri kimeni nock out lol
nenda rita kabadilishe cheti cha kuzaliwa......