Mapenzi matamu jamani ukiwa naye mmoja

Mapenzi matamu jamani ukiwa naye mmoja

Ukwelimtupu

Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
36
Reaction score
13
Mapenzi raha jamani, ukiwa naye mmoja mkitembea ufukweni, mkigusana mara mojamkitembeleana kusini, nyingi si mara moja genye ni kugenyezana:A S kiss:, tafuta wako utulie.



Asanteni
 
Mmoja kuna muda inaleta usumbufu, lazma uwe na super sub kidogo discipline inakuwepo
 
Aisee wajua wanadamu siye hujiroga wenyewe. Inaonekana Gololi One una machungu ya mapenzi ndiyo maana una mtazamo hasi. Wajua kwamba mtazamo wako ndiyo chanzo cha matatizo kwenye ndoa au mahusiano yako ya kimapenzi?
Kwa mfano ukiwa na hofu kwamba siku moja mpenzi wako atakufanyia jambo baya ni lazima utatendwa tu. Kwa sababu akilini mwako umepanda mbegu ya wasiwasi ambayo ikiota inazaa matunda ya wasiwasi na matunda ya wasiwasi yakiiva unamtenda mpenzi wako kwa sababu unaamini hata yeye anakutenda au atakutenda siku moja. Sasa anagalia twist hii: Kwa sababu umemtenda mpenzi wako naye kama hana busara anaamua kulipiza ili wote mtoke sare. Unaona sasa ulichokiwaza kimetimia. Na mara nyingi waliokuzunguka utawasikia wakisema sisi tulijua tu.
 
Nahisi JF moderator ana edit sana: Mshororo wa mwisho umekuwa edited: GENYE?
 
Back
Top Bottom