Jamani Watu Wazima Watamujeeeeeeee! Nimekufwaaa for Mtu Mzima. (Reader Be Aware PG 30).

Jamani Watu Wazima Watamujeeeeeeee! Nimekufwaaa for Mtu Mzima. (Reader Be Aware PG 30).

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,208
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Jamani mada nzito hii ya leo, kwaresma hii muepusheni shaitwani sio lazima usome huu uzi.)

It always stary with a beautiful beginning as usual, before the unexpected happen. Ilianzia kwenye ubatizo wa mtoto wa dada yangu. Sasa huyo my sis ni mtu wa research, nikawa nimemuomba mchongo akaniambia sahivi mtu mwenye mradi wenye hela ndefu hatari ni Baba P, nikawaza nitamuanza vipi. Kama Mungu vile Kwenye ubatizo mkewe mama P akawa kaja, katika kusemeshana, ananiuliza jamani Lara vipi, harusi lini, jamani the twins are looking up to you guys afu mnaishi kisela inakuwa sio inspirational kabisaaa, blah blah blah! Nikasema hapa hapa it is now or never. Nikamwambia mie mchumba ninae sema kazi sina, nitaolewa vipi unadhani? Akasikitika, akaniambia ngoja niongee na baba P tutafanya kitu kwenye mradi wao. (Hapo hapo nilipokuwa napataka). Basi nampelemba kazi ikipatikana November nakuwa mwali. Aananiambia wanaume hawa hawa usitafute wenye hela anzeni chini. Naitikia tu. (Moyoni nasema thubutuuuuu, niingize kwenye mradi huo nile midollar basi.)

Akaja kuniambia nenda ofisini kwa baba P nishampanga kila kitu, kazi itayokuffa ni ya uhasibu pale, nikamwambia nilivo na shida mpaka kwenye makalio hata kufagia nafagia. Nikavunja kabati siku hio maana pale kuna vijana wa medical, epidemiology, statistics watu na shulezao za tropical sciences, sikutaka kabisa kupoteza fursa. Nimefika pale baba P bonge la muofisi, najiambiA i can get used this life, not bad kabisaaa. Basi akaja baba P tukasalimiana how are the twins, nini na nini kujikomba kwingiii. Ikaja sasa part ya kazi. Asinigeuzie kibao! Tobaaaaaaaaa! Eti what will you say if instead of a job, i offer you something bigger!? Like school abroad in Dubai, Uk, you name it,and maybe pay you visits a couple of times a year, and we spend some quality time together?No way, no day!Tobaaaaaaaaaa! Anamalizia na smile kabisaa hapo he made me an offer i cant refuse! Sbabu mwenyewe komandoo kipensi, ikanijia tu atomatically That will be wonderful! Perfectooooo! Unanitania lakini, hauko serious. Ananiambia how serious it is itadepend na mie,mie sio mtoto bwanaa. (Mambo a mtoto wa mwenzio mtu mzima mwenzio) Nikamwambia let me sleep on it. Nikapewa kilo moja ya nauli. Njiani mama P ananipigia vipi umefanikishaaa? Yuko anxious. Mmmmh! Nikamwambia wamesma sina experience, lakini nashukur kwa kuniunganishia dada kubwa. Akasema usijali yani huku unyumba simpi mpaka akugee hio kazi, huna experiencekitu gani, you are family, and family should look after family. Niachie mie. Nikasikitika tu wema wake utavomponzaaa.


Nikamshirikisha sista wangu bwana baba P, kaingia kingi mzima mzima, anataka kuleta uhuni wa kizamani kutumia shida yangu kuni blackmail chiu sasa nataka kumtengeneza na kumtia adabu tuheshimiane mjini. Akasikitika akasema hii ishu tuiminyie, mambo ya aibu haya tusimsambaze baba P, maana tutamuaibisha mama P. Ndo kunisimulia kumbe wale twins sio wa baba P, baba P alikuwa ulaya huko anaugua mahetani, demu wake akamuacha,akawa depressed ndo mama P kumtunzaa, akawa anamuombea mpaka akaponaaa, ndo kuoana ila alikuwa ashazaa wale twins. Akawa adopt so si tunajua ni baba yao. Ndo kurudi huku, kesho keshokutwa their bond is inseparable. Tatizo wanaume ndugu wa vinena ndo kuzeeka vibaya sasa Baba P anataka anifuge kabisaaa sio kuchepuka tu. Ndo kukubaliana yeye amwambie mama P mie kazi nimepata, na hii issue tuizike rasmi sababu mama P alifanya kwa wema. Doooooh! Nikakubali juu juu.

Tatizo shetani ana nguvu hatari siku baba P ananiita njoo upate breakfast hapa 5 star, nikianglia miandazi imenuna mule ndani, potelea potee, najiambia it will never happen again, ila bufee litanisamehe kwa kweli. Nikaenda pale nikamkuta na mtu mzima mwenzie kidogo yuko in shape na late 30s. Hana Pete mkononi. Ndo kupata kifungua kinywa pale, baba P kwenda chooni nikagewa business card fastaaa. Akachukua namba yangu. Basi baba P ananisisitiza fanya tulivoongea uachakaa home, nafujwa tu na wanaume ushuzi. Cha kwanza nikamuuliza my sis huyu mtu mzima mwingine ni nani mjini hapa ana potential gani labda?. Akaniambia hioooo bingooo. Sasa hio ndo kazi ya kufanya sasa, huyo nae mtu wa ma research ila mkewe sijui longtime fiancee alimuachaga huyo mtu mzima, ndo hajaoa tenaaa, anawapwelepweta tu wadada wa mjini. Ananisistiza hata kama huna nia wewe go along ufaidi miraha kwanza afu umuache. Nikawa nawaza iweje yule awe pale siku ile na Baba P, ni coincidence au wanataka wanichezee cheo kunifanya sandakalawe aminaaa. Mjini hapa, KOSA LA DEFENSE BAO LA KISGINO TU.

Nikawa najishauri, mtu mzima akanza text, chatting, believe it or not he surpassed my expectations. Nikawa nawazaaa, nawazuaaa. naona awkward, some how natamani nijue mbele what will happen. Nikaenda kwa comradewangu mmoja yeye watu wazima tu ndo brand yake. Huyu comrade ni some one who knows where i buried all the dead bodies. Someone with whom i have no reservation. Akaniambia i guess graduation day finally came. It is about time ujiunge na ligi ya watu wazima, utawakubali mwenyewe. We are not getting any younger, it is now or never. Just give him a chance to get to know him. Drunk, bored, sorry and afraid is no way to go through life at our age. Jiachie na mtu mzima akupe good times. Kanijazaje upepo. Nikawa naonesha ushirikiano kwa mtu mzima, kiutu uzimaaa. Mtu mzima hana haraka na mie. Nikikohoa huyu hapa, kama mwanae vile. Afu namuogopa kichiziii. Sijui umri au nini. I am not my self kabisaa. Always raising the bar kufikia standard zake. Inachoshaa. This one time akawa anataka kunisimulia what happenede na hyoex wake, ubuyu natakaaa, lakini nikacheza kama pele ku win his respect kuonesha japo kiumri umenizidi ila kiupeo tunaenda sawa sawia nika mwambia it doesnt matter, usinisimulie. Nilichukua point za ushindi si kidogo. Ila wanajali jamaniii. Whatever he lucks in age anai compensate kwenye character na ma care. Duuuh! Ila tatizo mkitoka unaona aibu kishenzi maana hata kutambulisha huyu shemeji yenu nomaaa! Ila najikazaa hivo hivo. Manakenae anasikilizia utasema nani. Afu hawakawizi maongezi ya mtoto na future. Basi mtihani kweli kweli.

He siku hio sina hili wala lile jioni kanipigia mdada. We ndo flani,ndo mie, sio kiugomvi lakini nina maongezi na wewe. Mie flani nafanya sehemu flani, mtu mzima ni mtu wangu wa mda mrefuuu. Kwa hio nikusaidiaje ITS A FREE COUNTRY:biggrin:. Nilikuwa naomba uniachie , unajua mie mkubw kwako,kama mtu mzima tumepishana kidogo, i am a single mother, hopes zangu zote za family zipo kwa mtu mzima, nampenda, najua if i love him enough he will come along. Nomba usinichukulie, please, we unaweza kumpata mtu yoyote umtakae, he is the man of my life, CRY ME A RIVER!!!!!!! Michozi kibo. nikasemangoja kwanza nifikirie manake mambo anayonipa si ya kitoto ujue, hii ligi yenu ya watu wazima kama imeninogea.

Kiukweli namhurumia mkubwa mwenzangu, mwanamke mwenzangu, manae uzeenindo wote tunaelekea, lakini pia mtu mzima aniteka roho, this crush i have on him is so huge. Ila pia naweza mpotezea mda wake na ndege wake afu uko mbele nikamchoka vie vile kimtindo mtindo nikamtemaa. Yani nawazaaa. Manake kipya hakinyemi huko mbele nitapawezaa?

Embu watu wazima wenzangu tuongee kiutu uzimaaa. (Kama imekuboaaa sonya kimya kimya angalia uspaliwe mate buree! Hahahahaahaaaaaa)
 
Tulia soma ramani kwanza yawezekana mwanamke mwenzio kashindwa kumshika,ila wewe ndiyo umemshika hakkisha matunzo ya mwanae yanaenda jitahidi kuuliza kiutani utani lakini ndiyo ujumbe ufike.
 
Ha ha ha lara 1.. Kwani unamchukulia au unamsaidia matumizi huyo single mama..? Kila mtu ale upande wake midhali samaki mwenyewe ni mnono..
 
Last edited by a moderator:
CHUZI LA MOMBASAAAAA, KAMKUNIE NAZI MUMEO WEWEEEEE! Dume zimaaaa unapumuliwa kisogonii, huu mkeka huu wezi, kwanza hatutaki machoko tumefunga kwaresmaaa

Heee lara 1, hii kiswahili naona ngumu kumesa! Kumbe wewe mkali?
 
Last edited by a moderator:
ulichokiandika wala hakieleweki .

Mwanzoni tu hapo ... imeboaaa . .. ukiangali jinsi maelezo yalivyo marefu unzazidi kuboreka .

Halafu ww si mtu mzima .. it either ndio unaBalehee sasa .

Ndo vizuri UACHANE NA YA DUNI HAYA KIMBIA KAFNYE TOBAAAA KABLA MOTO WA MILELE HAUJAKUHUSU!

Na uliemuajiri kazi ya kukuburudisha mwanzoni nani? Shika adabu zikushike umekuja kusoma kwa kiranga chako. Nilichoandika nimeandikaaaa.

Niwe nabalehe au na mavuzi ya mvi haikuongezei hata kumi bank. Haya wahi kitubio disco letu limeingia mmasai.
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Heee lara 1, hii kiswahili naona ngumu kumesa! Kumbe wewe mkali?

Hugo ANTI bila kumtangazia biashara take haramu atanengeneka Uzi mzimaaa. Hapo nimempa air time atatulia tulii kama ya mtungi nishamjulia tu shida take ndogo sana mibahasha tu ndo kunengeneka kooote. Akija namtangazia tunamalizana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom