Hallow, natafuta msichana mzuri wa kuwanae

Hallow, natafuta msichana mzuri wa kuwanae

umla

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
1,166
Reaction score
558
Mimi ni mkazi wa Ubungo-Dar es salaam kutokana na majukumu mengi niliyonayo nakosa hadi muda wa kutafuta mwanamke hivyo nahitaji mdada mzuri wa kuwanae na nikiridhika nae basi nitamuoa kabisa,umri usizidi miaka 28,umri wangu ni 30yrs.Kwa aliye serious anaweza kuni PM

Asanteni
 
Kuenjoy tu? Aaaah..Mimi hapa!!! kulakula,kucheka, kununa yote napenda kwingine sahau.
 
Fafanua Ku enjoy ..jukwaa lenye wanachama zaidi ya laki.....huwez kosa member weye hitaj lako
 
Nikajua nimepata fursa niitumie kumbe hakuna kitu,
kama muda wa kumtafuta unakosa utapata wa kuenjoy? viwanja mtaendaje na muda huna?
 
Unataka kununua kifo? Au tayari ngoma ishapanda sasa unatafuta wa kufa naye? Wapo kibao kinondoni makaburini. Kama vipi, hata cocobeach wamerundikana. Pochi yako tu.
 
Mimi ni mkazi wa ubungo-Dsm kutokana na majukumu mengi niliyonayo nakosa hadi muda wa kutafuta mwanamke hivyo nahitaji mdada mzuri wa ku enjoy nae na nikiridhika nae basi nitamuoa kabisa,umri usizidi miaka 28! umri wangu ni 30yrs!
kwa aliye serious anaweza kuni PM! Ahsanteni!

Utadhani wanawake wamefichwa kwenye pori fulani...!
 
Mwanzo wa kuchanganyikiwa huanza taaratibu kama maumivu ya kichwa.... Ukichaa ukizidi, wahi mirembe... Kwa hisani ya mtu wa kinondoni.
 
Unataka kununua kifo? Au tayari ngoma ishapanda sasa unatafuta wa kufa naye? Wapo kibao kinondoni makaburini. Kama vipi, hata cocobeach wamerundikana. Pochi yako tu.

jiheshimu wewe kama familia yako imekufa kwa ngoma usidhani wote....domo chafu kama choo
 
Mwanzo wa kuchanganyikiwa huanza taaratibu kama maumivu ya kichwa.... Ukichaa ukizidi, wahi mirembe... Kwa hisani ya mtu wa kinondoni.

una laana wewe si bure na ningejua siku hiyo utazaliwa wewe bora ningemwagia nje!
 
Njooni tena na majibu yenu niwape za chembe,nimesema only serious one ndo anaehitajika mnaleta midomo yenu hapa..ebooo!
 
1425559449549.jpg
jiheshimu wewe kama familia yako imekufa kwa ngoma usidhani wote....domo chafu kama choo
1425559449549.jpg
ningekuwa domo zege ungezaliwa wewe.....hata hujiulizi umezaliwaje?

una laana wewe si bure na ningejua siku hiyo utazaliwa wewe bora ningemwagia nje!
1425559449549.jpg
njooni tena na majibu yenu niwape za chembe....nimesema only serious one ndo anaehitajika mnaleta midomo yenu hapa......ebooo!!

1425559449549.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom