Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Habari gani wana MMU
Kuna jambo limenikera sio mbaya mkalijuwa kama ni kosa au ni sahihi tujifunze kutokana na tukio
Kuna jamaa zangu mtu na demu wake nakunywaga kila siku, ila tatizo wakishaanza kunong'onezana dakika kadhaa wanaanza kugombana na hali ya hewa kuchafuka.
Bia hazishuki tena majadiliano kwenye meza yanaharibika na siku inakua mbaya. Nimejiuliza nini tatizo sijapata jibu.Nimeona sio mbaya nilete kero hii hapa ili kama wapo wengine kama hao tuwajadili wabadilike.
Karibuni