Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi lile tunda linalosemwa la mti wa katikati walilokula Adam na Eva, ni kweli lilikuwa tunda kama tunda au walifanya mapenzi.Hili limekuwa likijadiliwa sana kwa namna tofauti. Tujadiliane...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Utakuta umekuwa kwenye mahusiano na mtu then mkaachana kwa sababu za hapa na pale.Utajutaa! anakufuatilia kila hatua unayotembea kashfa,majungu,matusi,na zarau. Anataka basi we maisha yako...
3 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari za kazi wanajamvi, Niliwahi kuomba ushauri hapa,nashuuru nilifanikiwa. Kuna tatizo limetokea tena kwa huyu mzazi mwenzangu, aliomba awe anakuja kumuona mtoto binafsi sikuafikiana nae na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Aisee mimi hii hapana kwakweli, kuna mdada mmoja ni mpoyoyo tena bogas wa mwisho kabisa ana mpenzi wake. Huyo dada ahemi apumui yani kafa kaoza kwa mshkaji eti kisa dushe oh mkaka mrefu giant...
2 Reactions
89 Replies
8K Views
Dada yake John aitwaye Emmy, Emmy ameolewa na Jackson. Jackson anaishi na mpwa wake aitwaye Irene. je ni sahihi endapo John ataamua kumuoa Irene? Hii inaruhusiwa kulingana na tamaduni za...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Natafuta marafiki wa kuchat nao iliwanikeep busy katika kuondoaa huu upweke nilionao coz tayari nishatendwa yani sometimes mpaka nahisi akili inaganda coz of stress. But nimejuta mimi kupenda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mchungaji John Nelson Canning Mchungaji Canning na mkewe siku alipowafungisha ndoa Bwana Leo Gleese na Bibi Hazel Gleese katikati Mchungaji Canning siku ya mazishi ya ajuza hao Mnamo January 3...
16 Reactions
48 Replies
10K Views
kuna duh mmoja nimekua nae muda kdogo tumewah zinguana tu coz mimi i m not much caring man nlikua napga cm once a week kipnd tukiwa likizo n so on cz mm cio mtu wa totoz hobby yangu hua ni pombe...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Miaka 5 ndani ya ndoa na watoto wawili. Yale mapenzi na mashamsham niliyokuwa nikiyapata kutoka kwa waifu siyapati tena. Nimeshajaribu kuongea nae mara elfu kidogo na kumwambia kuwa ananisahau...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wanna MMU, Nina mdogo wangu wakiume anaishi nje, alikuja likizo akakutana na mdada hatimae wanataka kufunga ndoa, tatizo limekuja pale rafiki yake mdogo wangu ambae ndio...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye tuko nchi tofauti,tulikutana kwenye semina moja na yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia...
1 Reactions
106 Replies
12K Views
Wasalaam, Kumekuwa na mitindo ya mavazi, inayoingia kila leo kwenye maduka yetu ya fashion na dada zetu wamekuwa wakiyapapalikia mavazi hayo, bila kuangalia madhara, mavazi hayo yamekuwa...
4 Reactions
53 Replies
8K Views
Mimi ni kijana wakiume natafuta mchumba mwenye busura, asiwe Mkurya awe anajua kusoma nakuandika. Mimi nimeajiriwa serikalini elimu 4-6. Aliyetayari anitafute pm
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama walivyosema wahenga wa kiingereza, 'The end justify the means'. Vita ni vita na kilicho muhimu ni ushindi, mbinu gani imetumika na kwanini huja baadae. Kuna rafiki yangu ambae siko nae rika...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hivi kwanini mabosi wengi Serikalini, Private sectors wanatembea sana kimapenzi na ma Secretary wao. Kwanini Masecretary hawagomi kutembea na Mabosi wao? Yaani hawawezi kusema NO, Why?
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, Hapa nina wakati mgumu kidogo, nina rafiki yangu tumeshibana sana kaniomba ushauri.Ni hivi kuna jamaa mmoja kamuaproch baada ya huyo jamaa kufiwa na mkewe kama miezi miwili...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hiki ni kisa cha kweli kimemtokea rafiki yangu wa karibu, jamaa yangu ana mpenzi/mchumba ambae wamedumu nae kwenye uhusiano kwa muda wa miaka 2 mwanzoni jamaa anadai alikuwa hampendi kitu ambacho...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Marafiki wa ukweli, njoo tuchat sasa nitumie namba nitakutext moja kwa moja.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Inasemekana kwamba mwanaume yeyote akiwa anapenda sana kufanya mapenzi basi katika uzao wake wa kwanza asilimia kubwa lazima apate mtoto wa kike, Kwa hiyo inasemekana eti Mungu anataka na wewe...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Sikia hii halafu tafakari? Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom