Kupenda gani hivi?

Kupenda gani hivi?

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
75,517
Reaction score
185,623
Aisee mimi hii hapana kwakweli, kuna mdada mmoja ni mpoyoyo tena bogas wa mwisho kabisa ana mpenzi wake. Huyo dada ahemi apumui yani kafa kaoza kwa mshkaji eti kisa dushe oh mkaka mrefu giant misuli nyoooo pengine tuseme she loves him more than she is loved. She's 24 and he's 33 years old.

Wote wana kazi ila anavodai mdada ni kwamba salary ya mkaka ni ndogo compared to her. So kule kupendwa to the maximum, low salary plus kumkaza ipasavyo ndo mkaka kampanda na kumkalia kichwani mdada wa watu ahemi.

Dada anahudumia kila kitu salary ikitoka tu mahitaji yote yanaelekezwa kwa bidada mshahara wa mkaka hakuna kuhoji umetumikaje na anaeza pata mshahara hazipiti wiki pesa yote pyuuuuuu hana hata cent anarudi kuomba kwa mdada na mdada bila pingamizi anatoa ndio kafa kaoza ivo japo sometimes anatoa huku moyo unamuuma mana hata matumizi ya maana hayaonekani.

Hiyo trela sasa huyo kaka ni mlevi yani akiwa na hela vilabu vyote vitamjua ni kuhama tu asubuhi kwa wivina mchana kwa mama doni jioni kwa winchi usiku kwa mwayaona hapo full kujifanya taita ni ofa kwa kwenda mbele mpaka hela yote alokua nayo inaisha au kubaki kidogo,

Na ikiisha huyoo kwa bidada koh..koh una elfu2 hapo nina shida kidogo mdada sina hela ndogo nina hii 10 chukua utanirudishia chenchi nyoo hela yote kwishaa mdada ni kupewa maelezo tu kimya, mbali na pombe akiwa na hela sasa ni kujifanya kibosile kwa watu atagawagawa na kujifanya anasaidia watu shida weee mpaka mdada anapata hasira na watu washamzoea wakimuona tu aaaaaa shida zao kwisha.

Hapo bado sasa zile tarehe tasa zile karibia ma mwisho wa mwezi mdada wa watu kajibanaaa kahela kake ndo jicho lote lipo hapo haaaa mkaka huyooo naomba buku nina elfu 5 nipe nitaleta chenchi thunutu kifuatacho ni maelezo tu mdada akijaribu kuoneshwa kuchukizwa na kutaka kukemea hilo weee usitake kunipanda kichwani we mwanamke tena usinijie juu mi ni mwanaume humu ndani kama unaona pesa bora kuliko mimi wee nenda tu tupeane kwanza muda nishaona hufai kuwa mke wewe labda tuwe wapenzi tu( hapo keshajua pa kumshika basi ni kumjambisha tu mdada wa watu).

Mwee lidada lilivo jinga sasa litaanza kuhaha ful of vilio na kuomba msamaha weeee mpaka huruma eti.
Hapa ndo nmechoka kabisa unakuta eti ndugu wa anayejiita mume wamempiga mzinga au kumweleza shida ndugu yao mkaka 1 2 3 huyoo kwa mdada una 25? Mamdogo anshida kaniomba hela sasa mimi zimeisha basi anapewa tena na ya kutolea Mpesa kabisaa.

Sa hii juzi mkaka kaendazake kupombeka dada subiri subiri na wewe mpaka saa saba usiku mhmh dada huyoo mpaka kwa wivina kilabuni bwana mi huku nimekufata wewe unajua ni saa ngapi saivi? Tayari yuko nyiingii si akamgeuzia kibao wee sema tu ulikua na mambo yako kila siku unanifataga? Inamaana we ndo unanipenda sana ama?? Waliomo humu wote wamefatwa na wenzi wao au ndio tuseme hawana wapenzi? Wee mwanamke naona hunifai wee nenda zako tu mi niache.

Mdada michozi hiooo. Kufika room kafungiwa mlango eti akalale alikokuwa itabidi alale sebuleni as if hana kwake. Six months now they're cohabiting kila mmoja anakwake ndovile dada anakazwa vizuri na handsome boy mpaka kaamua kujiozesha kiholela na kuhamia kwa mshkaji. Kahamisha karbia kila kitu.(God forbid)
Mkaka analewa mpaka sometimes anajikojolea kitandani mdada yumo tu.

Bidada tuliripoti nae kazini pamoja wee alikua mzuriiiii takko takko hips hips toto jeupee loooh saivi ukimuona utamuonea huruma kakondaaaa kafubaaa namsema namshauri mpaka natamani nimsopole ndo anielewe holaaa..Biibi wee huo ni ujinga ulopitiliza we mateso yote hayo yanini akikutumua sepa zako kimoja kwani amekulipia mahari? Hapana umezaa nae hapana wanaume wameisha hapana ila?

Wanaeza gombana weekdays dada awe asiwe na kosa kazini hakukaliki huyoo anatoroka kwenda kulialia kwa mshkaji( what an idiot lady?!) A 33 years old man has been working years n years but hana chochote cha msingi ye pombe tuu.

Wewe mateso yote hayo huyaoni? He's extravagant he's manipulating you so stop being stuupid rafiki dont you see!?Bandugu nahitaji kumwokoa rafiki angu akombolewe katika huo utumwa alionao. Jitihada zangu zote zimegonga mwamba na maombi yenu ni muhimu hapa si bure kwakweli.

Maoni na ushauri jamani
 
Hahahahaaaaaaaaa! Mhando ulivokuja JF ulikuwa BINTI MLOKOLE, afu ukawa unaniponda kichizi, nilikuwa sikupendiii, ila naona WITH TIME WE THE DEMOCRATS HAVE WON YOU OVER! Sahivi ideology zako mrengo wa kushoto kabisaaa. Naona unafiki umewaachia kina W.HORE:lol:.! Hizi siasa tu za MMU msijenge chuki. WELCOME TO THE DEMOCRATS!!!!!!!!!!

Nitarudi ku comment mada.
 
Mtafutie mtu mwenye kufanana na huyo "handsome" ukimpata mwambie amtongoze. Tatizo huyo Bi shosti hapo alipo anajiona kapanda Farasi. Anaogopa kushuka kwa kudhani ataangukia kwenye Punda. Jitahidi usivunjike moyo kwani mwenzako ndio yupo shimoni anaelekea kuzama.
 
Love is blind acha kufufua watu. Subiri turn yako nawe utaona yale yale tuu.

Hebu mwambie ajiunge JF halafu mwambie apitie threads zote za Lala1 then apitie za gorgeousmimi halafu amalizie na za misschaga. Hapo lazima atachagua kusuka au kunyoa.
 
Mmmmmmmmmmmmmh! Baada ya unafiki, uchochezi na uzandiki (Mnashangaaa nini zote tabia za kike na mie mwanamke cha ajabu ni sasa hapo) narudi kwenye mada.

KUPENDA BWANA NI MZIGO! You dont choose who you love or even like! It happens to taaaaaaaaa just like that unajikuta umempenda huyo mtu. As a democrat suguu nilitakiwa ni mcurse huyu mdada to hell and back and that democratic part of me still does. Lakini as a woman, true to my feelings i understand how to feel powerless towards a situation like this.

SOMETIMES IN ORDER TO WIN YOU HAVE TO LOSE! Naendelea.
 
aikolojia... Embu ni PM namba yake niweze kumpa ushauri hasije kupata ugonjwa wa stress bure akawa anashindwa kulala usiku...
Maana hizo dalili za kupungua uzito ni stress inamuanza
 
Huyo binti ni kiaziiiiiiiiiiiiii

Tena kiazi kicheremaaa

Mjingaaaaaaaaaaaa

Zumbukuku wa mwisho
 
Hahahahaaaaaaaaa! Mhando ulivokuja JF ulikuwa BINTI MLOKOLE, afu ukawa unaniponda kichizi, nilikuwa sikupendiii, ila naona WITH TIME WE THE DEMOCRATS HAVE WON YOU OVER! Sahivi ideology zako mrengo wa kushoto kabisaaa. Naona unafiki umewaachia kina W.HORE:lol:.! Hizi siasa tu za MMU msijenge chuki. WELCOME TO THE DEMOCRATS!!!!!!!!!!

Nitarudi ku comment mada.

khakhaa ulinipigaga biti sina hamu mpaka waleo nakumbuka ...Am I redy to start a never ending war teh..?? huyu nae hajazidi kapimdundukia asee!
 
cc mahondaw.... burudani na ianze. Babu nshajikamatia kiroba hapa nasubiria match ya Athletico na R Madrid....
 
Last edited by a moderator:

wee acha tu huyu dada mjinga mpaka anantia hasira tupo nae kazini kazi haziendii kuwaza huyo bwe.ge wake tu bora angekua wa maana basi. aargh..
 
Last edited by a moderator:
Huyo binti ni kiaziiiiiiiiiiiiii

Tena kiazi kicheremaaa

Mjingaaaaaaaaaaaa

Zumbukuku wa mwisho

hahahaha mi nahis kuna mkono wa mtu hapa haiwezekani a lots of boros kang'ang'ana tu..
 
Back
Top Bottom