Wasalaam,
Kumekuwa na mitindo ya mavazi, inayoingia kila leo kwenye maduka yetu ya fashion na dada zetu wamekuwa wakiyapapalikia mavazi hayo, bila kuangalia madhara, mavazi hayo yamekuwa yakiwaacha wazi sehem kubwa ya miili yao, mpaka mwanaume unashindwa kutambua yupi mtoto wa geti yupi changu.
Kwa taarifa tu ni kwamba katika mtizamo wa wanaume kuna mwanamke wa kuruka nae pia kuna mwanamke wa kuoa na mavazi ni moja ya kishawishi kikubwa kutofautisha mwanamke wa kuona wa kucheza nae, hivyo niwasihi dada zangu acheni kuiga Magharibi.
Vaeni kiheshma msitiri miili yenu vizuri huku mkitafuta nguo zinazoendana na miili yenu, acheni kulalamika na kushinda kwa waganga wa kienyeji kwamba mbona mimi siolewi wakati mchawi ni wewe mwenyewe.