Mwanaume wa hivi nimsaidieje?

Mwanaume wa hivi nimsaidieje?

mat8

Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
95
Reaction score
35
Niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye tuko nchi tofauti,tulikutana kwenye semina moja na yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia.

Chakushangaza tangu arudi nchini kwake tunawasiliana mara chache sana na mara chache hizo mie ndie na insist mawasiliano kila mara yaani mtu anaamka tangu asubuhi hadi jioni hakuna mawasiliano ukiandika hata 'mambo' tu itajibiwa after 24hrs ukiuliza shida ni nini?

Anakwambia niko sawa tu ni ubize. nilikuwa nimepanga safari niende kumsalimia ila kwa tabia yake hii nina mashaka, am calling off this blind relationship.

Wadau nisaidieni nitaua nimekomea hapo maana ananitesa tu
 
  • Thanks
Reactions: amu
be patient then fanya research...huwez jua may be anakutega?
 
dada ebu mwaga apa sifa unazoztaka kama alzonazo huyo jamaa waje hapa uchague,,mbona bongo tpo wakila aina na kila size kuanzia nch mbili ad kumi na tisa,,
 
sio kila mtu anapenda kuwasiliana kila wakati hata kama anakupenda

jifunze kutambua aina tofauti za watu.. while you want him to live like you... he may be praying day and night for you to live like him. Binafsi silazimiki kuwasiliana na wewe kila wakati ujue nakupenda

Nipo kwenye mahusiano zaidia ya miaka 15 na si lazima niwasiliane na la'aziz kila wakati, but her special place in my heart is next to none

nenda kamuone anaishije ili umjue
 
Wanaume Wengine Noma, Shosti Na wewe ukionyeshwa smile tuu unasema he is the one, wengi waongo, huyo kama ninge kua wewe angenisikia redioni, hakuna cha cm wala Salam, atakuchimba roho huyo Mpaka umjue mchuchu wa Bibi yako yako alikua nani...
 
Wewe ndie unayepaswa kusaidiwa kwani mwenzio alikuwa anatafuta pa kutolea kiu yake kipindi mkiwa semina halafu wewe unataka kujenga kibanda!! Unataka mkewe amuweke wapi!!???

sikuahi kulala nae na sina tabia ya kulala na mwanaume kabla sijamfahamu vizuri.
 
bado sijampa hata kuuchungulia hajauchungulia
 
Lila na fila hazitangamani

Hebu fanya masepeo haraka mno maana huwezi kusubiri feri uwanja wa ndege...

asante maana naona anaumiza moyo wangu tu. mpenzi gani hata huna hamu ya kuwasiliana na mwenzio
 
huko unakoenda siooo kabisa nna maumivu mwenzioo
 
sio kila mtu anapenda kuwasiliana kila wakati hata kama anakupenda

jifunze kutambua aina tofauti za watu.. while you want him to live like you... he may be praying day and night for you to live like him. Binafsi silazimiki kuwasiliana na wewe kila wakati ujue nakupenda

Nipo kwenye mahusiano zaidia ya miaka 15 na si lazima niwasiliane na la'aziz kila wakati, but her special place in my heart is next to none

nenda kamuone anaishije ili umjue
mmmmh inaitaji moyo kwakweli
 
Wanaume Wengine Noma, Shosti Na wewe ukionyeshwa smile tuu unasema he is the one, wengi waongo, huyo kama ninge kua wewe angenisikia redioni, hakuna cha cm wala Salam, atakuchimba roho huyo Mpaka umjue mchuchu wa Bibi yako yako alikua nani...

ndo na mimi naona nikae kimya tu kama kapenda atarudi maana unaweza ukajibalaguza wee kumbe ana mwingine huko
 
Back
Top Bottom