Naombeni msaada wawazo wadau

Naombeni msaada wawazo wadau

Super human

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
1,147
Reaction score
752
kuna duh mmoja nimekua nae muda kdogo tumewah zinguana tu coz mimi i m not much caring man nlikua napga cm once a week kipnd tukiwa likizo n so on cz mm cio mtu wa totoz hobby yangu hua ni pombe. x mass nikamtafuta kwny cm hapa chuo akasema umebakza muda wa university promotion huna wa kuongea nae ndo unanipigia? after that nilimuomba tuongee akanambia itsover nkamshawsh ad miez 4 akajrud nikajrekebsha bt atujakaa kiivo. leo nikamwomba cn i put ua pcture kwa whats up? akakataa akasema kama mahsiano ni ya watu wawil why tuwe maaruf? heb nisaidieni kuna mapenz hapo? samahanini kwa msg ndef nipo serious MISS CHAGA, LARA NISAIDIENI KAKA YENU
 
Kwa huu mwandiko wako na maelezo yako.nakushauri uzingatie masomo masuala ya mapenzi usiyape kipaumbele mdogowangu.Halafu wazazi wanalipa ada wewe unasema hobby yako ni kunywa pombe. Shenzi sana.
 
Kwa huu mwandiko wako na maelezo yako.nakushauri uzingatie masomo masuala ya mapenzi usiyape kipaumbele mdogowangu.Halafu wazazi wanalipa ada wewe unasema hobby yako ni kunywa pombe. Shenzi sana.

Hakuna shule hapo mkuu BRN iko kazini
 
Mwandiko huo....kama bata kapita

Ila ushauri.....soma kwanza
 
Duh asee mm ni mtu mzma cio mtt im late 20s sasa mnachoniambia mjue im old enough cio vbaya tukibadlshana mawazo mm ni muumin mzur tu kwenye imani yangu
 
Kwa huu mwandiko wako na maelezo yako.nakushauri uzingatie masomo masuala ya mapenzi usiyape kipaumbele mdogowangu.Halafu wazazi wanalipa ada wewe unasema hobby yako ni kunywa pombe. Shenzi sana.

mm cisomeshwi na wazaz ww UMEKARIRI MAISHA
 
Kwa huu mwandiko wako na maelezo yako.nakushauri uzingatie masomo masuala ya mapenzi usiyape kipaumbele mdogowangu.Halafu wazazi wanalipa ada wewe unasema hobby yako ni kunywa pombe. Shenzi sana.

Mkuu naomba niongezee tena shenzi nyingine ziwe mbili!
 
hivi mwandiko wa humu upoje? kama huna cha guide or councell c ukae kimya? keep quite kama huelewi i l be ok sema nishawazoea watu hopeless kama nyie
 
Uko chuo kikuu au vile vyuo vya ghorofa ya nane?
 
Tafuta kwanza ufalme wa mbinguni, umeumbwa kwa ajili ya kusudio fulani siyo kuishia kufuata njia ambazo kila mtu anafuata. Mwombe Mungu wako akuonyeshe
 
Back
Top Bottom