Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 944
Utakuta umekuwa kwenye mahusiano na mtu then mkaachana kwa sababu za hapa na pale.Utajutaa! anakufuatilia kila hatua unayotembea kashfa,majungu,matusi,na zarau.
Anataka basi we maisha yako yaharibikiwe akiona umefanikiwa kidogo anaanza kukuchafua kwa watu na maneno ya kejeli na matusi.
Jamani wanaume wenye tabia hizi badilikeni kuachana ni jambo lililopo kwenye mahusiano sio geni jamani.