Kwanini Bosi hutembea na Secretary?

Kwanini Bosi hutembea na Secretary?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Hivi kwanini mabosi wengi Serikalini, Private sectors wanatembea sana kimapenzi na ma Secretary wao. Kwanini Masecretary hawagomi kutembea na Mabosi wao? Yaani hawawezi kusema NO, Why?
 
Ukitaka kushindwa kufanya kazi basi fanya ujinga huo. Heshima ya ofisi na ubora wa kazi vitaondoka mara moja
 
Kwa sababu ya ukaribu wao na kufanya kazi za boss mara kwa mara wanakuwa pamoja ...hata hatongozi anamwambia tu.
 
kila mwanaume ana mchepuko sasa bosi ambae yuko bize sana alie mbele yake ni secretary so ndo anasebenza apo apo!! kina mugabe si wameoa ma Secretary wao
 
Huyo Boss sio mwanamme barabara ni sawa na kutembea na mfanya kazi wako wa ndani,heshima inapungua na unajishusha thamani mwenyewe.
 
kwa mfumo wa utendaji kazi nchini mtumishi anatumia muda mwingi kazini na hivyo wale waliokaribu yake kuwa sehemu ya maisha wakati mwingine kuliko hata wale aliowaacha nyumbani.

ebu fikiria unatoka nyumbani saa 11 alfajiri kuwahi foleni isikukute alafu unarudi nyumbani saa 3 usiku choka mbaya sababu ikiwa foleni tena. kwa mazingira hayo kuna uwezekano mkubwa kukua kwa hisia za kimapenzi kati ya wawili hao. kumbuka in nature hakuna mwanamke mwenye sura mbaya
 
Hizo ni habari za zamani..siku hizi mambo yamebadilika bhana
 
Siku hizi wanaitwa Office Management Officer. Sidhani kama kuna ma Secretary kwa dhana ile ya zamani. Hakuna mpiga chapa. Boss anawasiliana mwenyewe kwa email na barua zinaandikwa moja kwa moja kwenye computer/laptop yake.
 
Back
Top Bottom