NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Habari za asubuhi wanna MMU,
Nina mdogo wangu wakiume anaishi nje, alikuja likizo akakutana na mdada hatimae wanataka kufunga ndoa, tatizo limekuja pale rafiki yake mdogo wangu ambae ndio mshenga kuchelewa kuleta jibu,kama tumekubaliwa au tumekataliwa.
Barua imepelekwa tangu Decemba 2014 na tulipanga harusi ifanyike juli, wakati sote tukiwa likizo
chakushangaza huyu biharusi mtarajiwa akaanza demand ooh mie ukinioa unichukue tuondoke sote,sawa
ooh nataka mfanya kazi, oh nataka niendeshe gari,wakati hata kuwasha gari hajui.
Mwezi wa 2 mwaka huu mdogo wangu amekuja TZ baada ya 1 week majibu yakaletwa kua anaolewa basi
mkaka akatafuta mke mwengine hakusubiri nini wala nini kachukua mkewe wako majuu,huyu mdada sasa jana usiku, kaja na kilio anataka kuolewa na kaka.
Ilibidi tushangae tukamwambia kua unajua kua ameoa na yuko happy na mkewe kasema mie hata mke wa pili sinaneno, yule mshenga ndio alinambia atanioa kaniroga nilikua sijielewi zungumzeni na mdogo wenu manake hata simu pia amebadili.
Mimi nimeshangaa hivi inakuwaje mtu unakosa haya kiasi hiki? Mshenga hata nyumbani hapiti karudi Tanga kwenye kazi yake yakukodisha Baiskeli. Ni sawa akiombewa msamaha huyu mdada.
Ushauri tafadhali