Hivi kweli mapenzi ni ugonjwa kama ni ugonjwa kwanini watafiti wasitafutie dawa? Kila sehemu siku hizi ukimkuta msichana ama mvulana akizungumzia mapenzi basi lazima yawe mapenzi yenye maumivu...
Haikuwa rahisi kuamini kuwa usaliti huu ungetokea kwenye ndoa ya ndugu ali (Jina nalihifadhi) Ali ni mtu mcheshi na ambaye alikuwa anaonyesha upendo wa dhati kwa mkewe ambaye alimuoa sasa ni miaka...
Nilikua nawaza siku moja nim date demu wa kizungu hata wale wa chuo wa kozi za mda mfupi . Huwa nakumbuka naona nilikuwa na fikra ama pepo la ajabu sana . Nilikua nawaza yaani hata mhindi ama...
Puturuu ni aina ya dawa ambayo ukitumia kwa mwanaume unachelewa kufika mshindo.Dawa hii niliwahi kuitumia kama mara tatu hivi na kweli inafanya kazi ipasavyo sana na ukaridhika.
Asili ya hii dawa...
Acha tu now nidili na kuzidi kujiongezea kipato changu mapenzi sasa basi inatosha sasa naweza nikaua mtu familia yangu ikapata tabu
mtu unampa kila kitu,unamsaidia kila kitu mwisho wa siku yeye...
Jamani kwema,
Mimi ni mwanamke nimeolewa na tuna miaka kumi kwenye ndoa na mume wangu,tuna watoto 4,wakike wawili na kiume wawili. Jamani naombeni msaada wenu mume wangu amekua cha pombe mbaya...
Wanajamii naombeni msaada,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 23 nina mpenzi wangu nampenda sana lakini kila napokutana nae kwa lengo la kufanya mapenzi hisia huwa zinapotea kabisa. Lakini...
Siku chache baada ya kupita sikukuu ya Pasaka niliwaelezea hapa jinsi nilivyokutwa zero distance na mke wa mtu, nyumbani kwa rafiki yangu.
Jamaa mwenye mke ni dereva bodaboda na mke wake ni...
Ebana yani mimi nikiwa nimekorofishana na msichana wangu alafu nikawa nimemchunia then akawa ananiomba msamaha huku anatoa machozi au kulia kwa kwikwi,yani huwa najiskia raha ambayo haina...
Wanajamvi,
Nifanyeje ili niweze jua mgoni wangu na namna ya kuthibitisha watoto ni wangu na sijaibiwa bila kutumia DNA coz nataka nifanye kwa siri.
[SIZE=3]
Karibuni mnishauri[/USHAURI WENU...
Habari zenu marafiki,
Changamoto ni sehemu ya maisha siku zote, na kupitia changamoto hizo tunapata fursa ya kujifunza mengi zaidi na kuwa na ujasiri zaidi.Embu nambie unapokutana na changamoto...
Wanajukwaa hodiiiii, Nimekuwa mfuatiliaji wa posts nyingi sana hapa JF kama guest, lakini imefika hatua ya k kujiunga na JF.
Kuna kitu kinawanitatiza sana wanaume interactions zao na akina dada...
Ni mara nyingi sana wanaume tunakuwa na excuses nyingi sana za kutufanya tutoke nje ya ndoa sababu nyingine zinaweza zikawa somehow justified na nyingine they are just sababu tu zisizo na mashiko...
Habari za saa hizi wapendwa wangu,
Leo marafiki ningependa tuongelee kuhusu insecurities za wanaume wetu wa kisasa.
Inawezekana wanawake sisi ndio chanzo cha wanaume wengi wasijiamini kwasababu...
Kama kuna mwanaume anakutongoza, huku akijua kabisa una mahusiano ambayo yapo stable na yamkini anamjua mpenzi wako halisi, ujue anakudharau, anakuona uko cheap, unapatikana kirahisi.
NB: Si...
Habari aza weekend waku,
Siku zote hujiuliza,mapenzi ya dhati yanapimwaje? baada ya tafakari ya muda mrefu nikagundua kuwa,mapenzi ya dhati huonekana mpenzi anapokerwa na mpenzi wake.
Kwasababu...
mimi ni kijana wa kiume hapo nyuma nishawahi kumpenda binti mmoja kupita maelezo nikiwa kidato cha sita mwishoni, aliniacha bila sababu za msingi since then sijawahi kupenda kiukweli, naishia...
1.Mwenye adabu na unyenyekevu.
2. Kujari na kuthamini familia na jamii kwa ujumla.
3 Elimu yaani mwenye kujitambua yy ni nani.
4. Mkarimu asiwe mkimya kimya awe mchangamfu kwa watu.
5...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume, kuna haya maswahibu yamenikuta naelewa huwa yanawakuta wengi, kuna mdada tuna undugu wa mbali kidogo ni mzuri na ameumbika.
Amekuwa akinilazimisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.