Housigeli anataka kuniharibia ndoa
Anti/kaka jamii
habari yako. Nategemea mzima wa afya na hutasita kunisaidia kunipa ushauri unaonifaa. Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili. Tangu nimeolewa...
Wasalaam,
Usiombee uwe na ugomvi na mwanamke au mke wako, hizo ngumi zao wanazovyo zikunja na kuanza kuzirusha hovyo hovyo unashangaa tu za uso, mara kachukua mwiko kakutandika ya bega tofauti...
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooo!
Disclaimer.
Leo jumapili chonde chonde nipo kwenye Sabato, msinikwaze. Mada ya leo ni CAVEAT EMPTOR OR BUYER BE AWARE! Title iko very direct! Sasa basi...
Habari zenuni wakuu,
Naomba kujua hivi ni kwanini kesi nyingi za kutokuzaa/ kushindwa kushika mimba au ugumba wanawake ndio huwa watuhumiwa wakwanza?
Hasa kwa walio katika ndoa,it mean that we...
Wasalaam,
Mama kuna umri ambao bint yako akifika basi na wewe inabidi ujifunge kubeba mimba maana kitakacho kuja kutokea huko ni aibu kwa mama.
Binti ana kichanga mama ana mimba matokeo yake...
There are lots of good reasons to stay single. At first you may think that staying single isn't a good thing, but there are few things you should consider, well 140 things to be exact. This is a...
Habari wana jamvi,
Tatizo la wanawake kulalamika na kukimbia kwenye vyombo vya usalama na habari kuelezea namna ambavyo wamezalishwa na wanaume kisha kuwaachia majukumu ya kulea familia limekuwa...
WASWAHILI wanasena uchungu wa mwana aujuae mzazi, lakini kwa mama yetu ilikuwa kinyume. Sikuamini mama yetu mzazi kuwa chanzo cha matatizo ya familia yetu, pengine hata mimi kushindwa kufikia...
Je, hii ni kawaida kwa wanawake wote? Kuna sababu zozote za Kisayansi au za Kisaikolojia zinazoweza kumfanya mwanamke awe katika hali hiyo? Katika hali kama hii ni kweli kwamba ananipenda.
Wadau...
Ebu tuelimishane jamani kwa maadili yetu sisi wafrika ni sahihi kweli bibi harusi kukata mauno mpaka chini siku ya harusi tena mbele ya wakwe zake? Jambo hili ni sawa wakuu.
Habari za kazi wana jamvi wenzangu,
Najitokeza hapa kumtafuta mwanamke ambaye tuje tuwe na malengo ya kujenga ndoa yetu.Mimi ni muajiriwa wa serikali na sijawahi kuoa na wala sina mtoto ndyo...
Ukitafakari sana utagunda wengi wetu tumebaka ama kubakwa bila kufahamu. Kubaka ni kitendo cha dushe kuingia kwa kiwango chochote katika papuchi bila ridhaa ya mhusika.
Sasa ridhaa hapa ni pamoja...
Wakuu,
Michepuko imeshika kasi sana na linazidi kushika kasi kadri muda unavyosonga mbele,
nini kifanyike kati ya haya;
1. Wanaume waache tongoza tongoza hovyo
2.Wanawake kuwa na misimamo...
Wasalaam JF,
Hii kitu nimeishuhudia kwangu mimi mara kadhaa na hata kwa baadhi ya washkaji waliokuwa kwenye relationships na girls kadhaa.
Unaweza uka date na msiichana flani na akawa amekufa...
1. Mkanye mtoto wako wa kike na hata wa kiume kuhusu kukubali kupakatwa hovyo, bila kujali ni nani anampakata, hata kama ni mjomba wake.
2. Usivue nguo mbele ya mwanao pindi akifikisha miaka...
Unaweza uwe unataka kumuoa anakukatalia au kukusumbua eti ana mtu wake, kumbe huyo anayedai ni mtu wake hana hata nia ya kumuoa.
Akishachezewa vya kutosha au kuumizwa na huyo mtu ndio anakuja...
Wana JF,
Tendo la ndoa mwisho wa siku huitimishwa kwa me/ ke kupiga mshindo (ejaculation). Ni kitendo ambacho hakizidi sekunde kumi na tano. Vipi kama kitendo cha kupiga mshindo kingechua walau...
Wanajamii naombeni ushauri,
Kwanza najua kabisa kwamba mke wangu sio mpenzi wa tendo la ndoa kama mimi. Mara nyingi nimekuwa mimi ndio mwanzilishi wa kuomba kwamba nahitaji au vinginevyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.