Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

Walio wengi hushindwa kujua kuwa biashara ni matangazo,na sio kila anayetangaza basi anabiashara ya kweli,wengine ni mbinu ya kujiinua kimaisha maana bila akili huwezi kuendana na changamoto za...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Hi guys, naombeni ushauri wenu hasa kwa wale wazoefu ktk masuala ya uchumba na ndoa. Mimi nina mchumba anayesoma chuo kikuu,tumekua kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwilli sasa, nimekuwa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
MWISHO WA MWEZI HUOOO NDIO UNAZIDI KUJONGEA, PANGO NALO HILO LINAZIDI KUTOKOMEA. NIFANYEJE ZAIDI YA KUWA NAMUAMKIA BABA MWENYE NYUMBA SHIKAMOO KILA NINAPOONANA NAYE? MCHANA, USIKU, JIONI, ALASIRI...
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Unasemaje juu ya hili,wewe ni mwanaume unamwambia mpenzi wako huna hela mwezi huu hatuwezi kukutana. Anakwambia nataka kuwa nawewe keshokutwa,kila kitu nitalipa,yaani gharama za guest chakula na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimekutana na kipeperushi hiki leo maeneo ya posta jijini Dar es salaam. OGOPA MAPENZI YA KICHAWI: Naitwa ,Mama Jessica, ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, mkaazi wa...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Wana jukwaa.. Kwa huzuni kubwa dunia imejikuta ikipoteza vijana, na wazee kwa maradhi ya ukimwi hii inatokana na kasi kubwa ya mabadiliko hasi ya kimaisha ktk jamii zetu. Kipindi hiki kifupi...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Jana nilikuja na habari hizo mtu wa zamani kaokoka,watu walitoa comments zao na wengine waligusa penyewe sababu za mtu huyu kuokoka, ila kwa vile kuzitaja hadharani inakuwa sio heshima nafikiri...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Niko hapa nimevumilia news hii ya furaha nimeshindwa kutosema, sitasema kwa watu ila hapa niseme tu (Kama kinyozi wa mfalme- std2/3 story). Mai waifu wangu kanipigia simu toka hospital kuwa...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Kulikuwa na simulizi fulani ya Mkata mti mmoja ambaye alipokuwa anakata mti,pembeni palikuwepo na kijana aliyekuwa amelala.Yule mkata mti akamwambia yule kijana 'ondoka hapo utaangukiwa mti' Yule...
7 Reactions
62 Replies
5K Views
habari wana MMU...ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. ningependa kuwashirikisha hili coz najua nitapata mawazo mbalimbali ya kujenga na si kubomoa hivyo naomba michango yenu ya dhati...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Hivi wana jf, una mke wa ndoa, maisha sio mabaya kiuchumi, shida unapotaka unyumba kwa mkeo inakuwa ni mlolongo, sasa ni almost mwezi mmoja, dawa ya hili tatizo nini?
0 Reactions
69 Replies
5K Views
Wamama wengi wa kambo hawana huruma kwa watoto wa kambo,wana ukatiri na manyanyaso ya hali ya juu,watoto wa kambo wanapigwa,wananyimwa chakula,wanapewa kazi nyingi,wanasingiziwa kwa baba yao ili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Utandawazi na maendeleo,wamama wengi hasa wenye uwezo wameanza kuiga mtindo wa wazungu kwa kukataa kunyonyesha watoto wao wakizuia kulala kwa matiti yao waki-maintain muonekano wa kisichana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeamua kuja na ujumbe huu leo baada ya kufanya resent research juu ya ongezeko la kuvunjika mahusiano katika ulimwengu huu. Nikagundua sababu za wapenzi ku break up zaidi inategemeana na sababu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
sina wasiwasi kabisa kuwa mama yangu ananipenda sana tena sana kabisa....... Najiuliza ni fair kutoa statement kama hii? Ni kweli kabisa kuwa mama zetu wanatupenda sana kuliko mtu yeyote...
17 Reactions
95 Replies
6K Views
Mm ni kijana maridadi ila nina hofu ya kuoa kutokana na kuogopa stress za ndoa.nifanyeje jamani nami ni muhannga wa depression?ee mola nipe asiye na stress basi.dah..........
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwenzenu nina mpenzi lakini nikaja kugundua nina mwenzangu ambae walikuwa wote kwa muda mrefu lakini huyu mwanaume anasema eti hampendi yule mwanamke. Sasa nifanyeje maana anadai nimpe muda wa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Umeonana na binti leo, na huna uhakika kama utakutana nae tena katika harakati za maisha! Lakini unapomwambia kuwa unampenda,anakuambia Haa! Mbona mapema kuniambia hivo? Sasa nawaomba wanabodi...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Wana JF nina swali hivi hii kasi ya kina dada wa leo kuokoka katika mji wetu huu wa Dar ni nini?mimi nilikuwa na mpenzi wangu tumefanya naye yote duniani yaani sio mabaya ila kwa mfano kinywaji...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Back
Top Bottom