Vyema umehitaji ushauri. ila mimi nitaanza kwa kukuuliza hivi! kwanini umezaliwa mwanamume? je, ni ili uoe au uolewe? na kama jibu ni ili uoe basi OA acha woga! na usijidanganye kama ni watoto unaweza kuzalisha ukasepa na kuchukua watoto wako hiyo itakuwa plan ya kukuangamiza mwenyewe kimaisha hadi kiroho! nakuhakikishia hakuna stage muhimu kwa mwanaume kama kuoa, hapo ndipo inapodhihirisha uanaume wako katika majukumu na kiuongozi ndani ya maisha yako. Nakushauri kijana mwenzangu OA tena muombe MUNGU akupe mke mwema uta enjoy life nakuhakikishia. hepuka ushauri wa vijiweni kama upo, angalia marafiki wasitake kukuhifadhi kwa kigezo kuwa ukioa utaachana nao! hii siku ya leo ikipita haiko tena katika maisha yako, umri na matukio chunga sana. KA OE ACHA WOGA!