Haya ni mapenzi ya kweli?

Haya ni mapenzi ya kweli?

MAKINYA

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
139
Reaction score
54
Unasemaje juu ya hili,wewe ni mwanaume unamwambia mpenzi wako huna hela mwezi huu hatuwezi kukutana. Anakwambia nataka kuwa nawewe keshokutwa,kila kitu nitalipa,yaani gharama za guest chakula na usafiri.
 
Sasa tatizo lhpo wapi hapo. Tukipigwa mizinga tunalia,tukisaidiwa tunalia. Kuna tatizo somewhere kwenye mifumo yetu ya maisha.
 
tatizo liko wap sasa we unapewa offer unazugazunga take the chance and kick the ball?
 
stupid girl! k utoe na eneo la tukio utoe! na wewe kijana huna hata kitanda !
 
Maswali mengine humu ndani khaaa.. Kwhyo kiukweli kabisa wew hujui ufanyeje?? Au unatutangazia njaa tu.
 
Kwani wewe unataka usaidiwe nini hasa?
 
Kwahiyo angekuomba mkutane na gharama za kulipia guest utoe wewe, ungekuja MMU kulalamika pia?
 
Back
Top Bottom