MOTHERS,faida na hasara za kukataa kunyonyesha.

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,126
Utandawazi na maendeleo,wamama wengi hasa wenye uwezo wameanza kuiga mtindo wa wazungu kwa kukataa kunyonyesha watoto wao wakizuia kulala kwa matiti yao waki-maintain muonekano wa kisichana kifuani.
FAIDA.
1.kuzuia kulala kwa matiti
HASARA
1.wanasayansi uingereza wamegundua kuwa ukuajia wa ubongo wa mtoto unategemea sana maziwa ya mama na inasaidia kulinda uwezo wa kiakili wa mtoto na wameshauri wamama waache kutumia bottle feeding,
WAINGEREZA WAMEENDA MBALI ZAIDI KWA KUAMUA KUWALIPA WOTE WATAKAONYONYESHA KWA MIEZI ANGALAU SITA.
watakuwa wanalipwa kila mwezi .
WAMAMA ACHENI USISITA DU, WATOTO WATAPOTEZA AKILI WALIYOZALIWA NAYO NA KUWA MBULULA.
 
Back
Top Bottom