PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,995
- 2,017
Niko hapa nimevumilia news hii ya furaha nimeshindwa kutosema, sitasema kwa watu ila hapa niseme tu (Kama kinyozi wa mfalme- std2/3 story). Mai waifu wangu kanipigia simu toka hospital kuwa tayari!!!!
She is finally pregnant! Though tumegombana mchana hapa ni mwendo wa kucellebrate tu....mwanzo mwisho!
Tafadhali naombeni hongera zangu
She is finally pregnant! Though tumegombana mchana hapa ni mwendo wa kucellebrate tu....mwanzo mwisho!
Tafadhali naombeni hongera zangu