Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nauliza tu jamani eti mwanamke anaanza kumpenda sana mwanaume baada tu kumegwa?
0 Reactions
44 Replies
19K Views
Natafuta mchumba mwaminifu, anaejali, asietumia kilevi chochote, awe mcha Mungu, umri 27_30, mtanashati, mkristo, awe anaishi Arusha au Moshi, nitampenda na kumjali hatojuta. Sifa zangu; - Mfupi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za mida hii wapendwa, Mimi ni binti mmoja mtaratibu sana, sijisifii ila niko hivyo kweli. Mapenzi yamenuimiza sana, ilifika mahali nilichukia sana wanaume, niliona ni wanyama nimekaa...
5 Reactions
48 Replies
5K Views
Hii ni mada lakini ni jambo linalotukumba wanaume wengi, hivi mwanaume anaweza kuwa jasiri na kumwambia mkewe au mpenzi wake kuwa ameishiwa nguvu za kiume? Na je, wewe mwanamke jambo hili...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
  • Closed
Nale khobha ng'wanike wa kotoola, ila abhize na myaka kwandeja makomi abhele asido kela makomi abhele na mpungate, nale ng'wanza, ila abhize na tabia ya wiza, natogilwe ngenu hado, nehu hado...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Kwanza ilianza kama masihara. Mshikaji wangu jirani (Tulikuwa tumepanga nyumba 2 ndani ya geti moja), alimchukua na house girl aliyepewa na workmate wake akawa msaidizi wa ndani kwao. Kijiweni...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari waungwana, Kama kweli mwanamke anakupenda bila shinikizo wala papara wala hajachungulia mfukoni mwako hana haja ya kukuambia "nakupenda"mara kwa mara, akikuambia hivyo daily ni aina...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari wana MMU, Nina girl friand wangu ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa miezi kama 7 ivi. Ananipenda sana tena kupita kiasi coz ananijali na yuko tayari kufanya lolote kwa ajili yangu...
0 Reactions
54 Replies
51K Views
Wadau naamini mko poa, Tangu uchumba, ndoa na hadi sasa ni miaka kadhaa na watoto juu, mke wangu hajawai kuniomba unyumba kwa maneno, huwa ananitega na kujilengesha kiasi kwamba mi ndo inabidi...
2 Reactions
113 Replies
18K Views
Wana JF, Mara nyingi huwa kuna malalamiko juu ya wame walioshindwa jongoo kupanda mtungini suruhu huwa ni kuacha, je kwa wanawake ambao hawana msisimuko wa kimapenzi kabisaa je, wanaweza kuachwa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Nahitaji marafiki mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali ei sistert & bro Karibuni
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Habari za kwenu, Nina mkasa ningependa kushare na nyinyi. Umri wangu ni 31, nina mwanamke ambaye tunakaa pamoja na mtoto ( three years old). Mkasa wangu ni kuhusu huyu mwanamke. Nina habari...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwezi uliopita tulikua semina mimi na wenzangu kama watano hivi mkoani, staff wetu wa zone hiyo walikusanyika hapo mkoani kwa ajili ya capacity building. Sasa kuna mwenzetu mmoja aliamua kuondoka...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini? Jamani ukweli kuna tabia za watu zina kera sana, sijui nikukosa ustarabu, sijui ni ushamba, sijui nini ila zinakwaza sana. Tabia ya mtu anakuja nyumbani kwa mtu(mgeni) lakini ni...
5 Reactions
114 Replies
13K Views
Wadada warembo wao wamebobea kwenye kuchagua mavazi tu ya kumpendezesha lakini kwenye unyumba wazito sana,yaani panapo 6*6 wao hulala tu kama vile yupo matanga.
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi desemba nilienda kumtembelea binamu yangu alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya ukonga. Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza,sasa...
1 Reactions
128 Replies
30K Views
Habari zenu ndugu wajenzi wa amani, Ndio unapodhungumzia mapenzi unaijenga Amani kwa kanuni ile ile ya Upendo.Ndugu yenu nina wazo nadhani njaa hizi zimepelekea nikafikia kuwaza kuanzisha Chuo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mim naomba ushaur utamjuaje mpenzi wakweli maana mim nina mpenz wangu kila Mara anasema yuko busy hata simu hapokei Mara nyingine ukimuuliza sababu anasema yuko busy
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Upi umri unaofaa kuanza mapenzi kuna tatizo gani mtu anaeza kupata kama aujafika umri huo? Mfano mtu anatakiwa aanze akiwa na miaka 18 lakini akaanza na miaka 14 kuna tatizo gani anaweza kupata?
0 Reactions
18 Replies
15K Views
Wanawake wa siku hizi utawasikia mimi nataka mwanamme wa ukweli ambae yuko real wakati ukimuangalia yeye ana hips fake, makalio fake, rangi fake sasa utapataje mwanamme ambae yuko real wakati wewe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom