Tahadhari kwa wanawake! Ogopa mapenzi ya kichawi

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,003
Reaction score
37,909
Nimekutana na kipeperushi hiki leo maeneo ya posta jijini Dar es salaam.

OGOPA MAPENZI YA KICHAWI:
Naitwa ,Mama Jessica, ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, mkaazi wa Tabata, Dar Es salaam.. Baada ya kuumizwa sana na wanaume katika mapenzi, niliamua kutafuta mganga wa kienyeji, shoga yangu alinipeleka kwa Mganga mmoja anayeitwa MUNGU WAKABILI, ambaye ni Mganga aliye bobea sana katika masuala ya UCHAWI NA UGANGA. Wakati naenda kumuona huyu mganga, tayari nilikuwa nimeanza uhusiano na mwanaume mmoja lakini na yeye akawa haeleweki heleweki. MUNGU WAKABILI, alinipa dawa ya mapenzi ambayo imenifanya nijutie kuitumia , kwani baada ya kumfanyia dawa mwanaume huyo, AMENIPENDA KUPITA KIASI! YANI AMEKUWA KAMA ZEZETA KABISA! Alikuwa na mke wa ndoa na watoto watatu, ila amewatelekeza wote na kuja kuishi na mimi. Nyumba aliyo jenga na mke wake ameiuza na kuninunulia mimi nyumba nyingine ili tuishi pamoja, kama hiyo haitoshi alikuwa na magari mawili moja amempa mdogo wangu wa kiume, jingine ameliuza na kunifungulia duka la nguo Kinondoni. Ni mambo mengi sana, yote siwezi kuelezea, ila kibaya zaidi ni kwamba, sasa ameshindwa kuendelea na biashara zake,anataka kuwa na mimi wakati wote kwa sababu amekuwa na wivu sana, anahisi akiniacha hata kwa dakika mbili tu nitaibiwa na mwanaume mwingine. Kibaya kuliko vyote sasa ndugu wa mume, mke wake na ndugu wa mke wake, wameanza kunitishia maisha yangu . Nilijaribu kwenda kumuomba huyu MUNGU WA KABILI anipe dawa ya kumrudisha huyu mwanaume katika hali yake ya kawaida lakini amegoma kufanya hivyo, anasema yeye hawezi kuharibu dawa aliyo kwisha itengeneza tayari na kwamba alinionya mapema.. Hapa nipo njia panda na sijui hatma ya jambo hili, natamani nikimbie mji lakini nashindwa. Nimeamua kuandika waraka huu ili kwanza, kuwaonya wanawake wenzangu waachane na MAPENZI YA KICHAWI ili yasije kuwakuta kama yaliyo nikuta mimi, kwani naona wanawake wengi sana, wa Dar Es salaam, wanamkibilia mtu huyu kwa ajili ya kupata dawa za mapenzi.. Nakuonya usifanye hivyo mwanamke mwenzangu, kwani mtu huyu licha ya kuwa na umri mdogo tu tena wa miaka chini ya thelathini, lakini dawa zake ni za hatari sana na zina nguvu za ajabu sana! Usijaribu kabisa mwanamke mwenzangu, utaumbuka,kwani kila mtu atajua umetumia uchawi! Lakini, pili, ninawaomba wanawake wenzangu mnisaidie kumshawishi MUNGU WA KABILI ili amrejeshe huyu mwanaume katika hali yake ya kawaida.. Naweka namba za simu za MUNGU WA KABILI hapa na ninaomba sana, umalizapo kusoma waraka huu, umpigie simu au kumtumia meseji huyu Dokta. MUNGU WA KABILI kupitia simu yake ambayo ni 0744000473, mwambie, Mama Jesca anapata shida sana, na sasa ameanza kusambaza vipeperushi mtaani akielezea jinsi ulivyo mfanyia kitu kibaya. Naamini hili linaweza kumshawishi na hatimaye kumrudisha kaka wa watu kwenye hali yake ya kawaida.

Namba za MUNGU WA KABILI ni 0753106197..UBARIKIWE SANA!
 
Attachments

  • MAPENZI.jpg
    MAPENZI.jpg
    488.5 KB · Views: 463
chapa upya hakisomeki

Nimekutana na kipeperushi hiki leo maeneo ya posta jijini Dar es salaam.

OGOPA MAPENZI YA KICHAWI:
Naitwa ,Mama Jessica, ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, mkaazi wa Tabata, Dar Es salaam.. Baada ya kuumizwa sana na wanaume katika mapenzi, niliamua kutafuta mganga wa kienyeji, shoga yangu alinipeleka kwa Mganga mmoja anayeitwa MUNGU WAKABILI, ambaye ni Mganga aliye bobea sana katika masuala ya UCHAWI NA UGANGA. Wakati naenda kumuona huyu mganga, tayari nilikuwa nimeanza uhusiano na mwanaume mmoja lakini na yeye akawa haeleweki heleweki. MUNGU WAKABILI, alinipa dawa ya mapenzi ambayo imenifanya nijutie kuitumia , kwani baada ya kumfanyia dawa mwanaume huyo, AMENIPENDA KUPITA KIASI! YANI AMEKUWA KAMA ZEZETA KABISA! Alikuwa na mke wa ndoa na watoto watatu, ila amewatelekeza wote na kuja kuishi na mimi. Nyumba aliyo jenga na mke wake ameiuza na kuninunulia mimi nyumba nyingine ili tuishi pamoja, kama hiyo haitoshi alikuwa na magari mawili moja amempa mdogo wangu wa kiume, jingine ameliuza na kunifungulia duka la nguo Kinondoni. Ni mambo mengi sana, yote siwezi kuelezea, ila kibaya zaidi ni kwamba, sasa ameshindwa kuendelea na biashara zake,anataka kuwa na mimi wakati wote kwa sababu amekuwa na wivu sana, anahisi akiniacha hata kwa dakika mbili tu nitaibiwa na mwanaume mwingine. Kibaya kuliko vyote sasa ndugu wa mume, mke wake na ndugu wa mke wake, wameanza kunitishia maisha yangu . Nilijaribu kwenda kumuomba huyu MUNGU WA KABILI anipe dawa ya kumrudisha huyu mwanaume katika hali yake ya kawaida lakini amegoma kufanya hivyo, anasema yeye hawezi kuharibu dawa aliyo kwisha itengeneza tayari na kwamba alinionya mapema.. Hapa nipo njia panda na sijui hatma ya jambo hili, natamani nikimbie mji lakini nashindwa. Nimeamua kuandika waraka huu ili kwanza, kuwaonya wanawake wenzangu waachane na MAPENZI YA KICHAWI ili yasije kuwakuta kama yaliyo nikuta mimi, kwani naona wanawake wengi sana, wa Dar Es salaam, wanamkibilia mtu huyu kwa ajili ya kupata dawa za mapenzi.. Nakuonya usifanye hivyo mwanamke mwenzangu, kwani mtu huyu licha ya kuwa na umri mdogo tu tena wa miaka chini ya thelathini, lakini dawa zake ni za hatari sana na zina nguvu za ajabu sana! Usijaribu kabisa mwanamke mwenzangu, utaumbuka,kwani kila mtu atajua umetumia uchawi! Lakini, pili, ninawaomba wanawake wenzangu mnisaidie kumshawishi MUNGU WA KABILI ili amrejeshe huyu mwanaume katika hali yake ya kawaida.. Naweka namba za simu za MUNGU WA KABILI hapa na ninaomba sana, umalizapo kusoma waraka huu, umpigie simu au kumtumia meseji huyu Dokta. MUNGU WA KABILI kupitia simu yake ambayo ni 0753106197, mwambie, Mama Jesca anapata shida sana, na sasa ameanza kusambaza vipeperushi mtaani akielezea jinsi ulivyo mfanyia kitu kibaya. Naamini hili linaweza kumshawishi na hatimaye kumrudisha kaka wa watu kwenye hali yake ya kawaida.

MMh! Haya mambo ya Mama Jeska ndo yamefika hadi huku, hizi habari zimeenea sana Tabata, na juzi nasikia Sam Mahela wa ITV alikwenda kumuhoji mwanamke na huyo jamaa aliye fanywa Zezeta, sijui iliishia wapi, nilitegemea kuisikia hii kitu kwenye televisheni.
 
Hii habari ni ya ukweli? imekaa kaaje hiyo? hebu tudadavulie!
 
Nimekutana na kipeperushi hiki leo maeneo ya posta jijini Dar es salaam.

OGOPA MAPENZI YA KICHAWI:
Naitwa ,Mama Jessica, ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, mkaazi wa Tabata, Dar Es salaam.. Baada ya kuumizwa sana na wanaume katika mapenzi, niliamua kutafuta mganga wa kienyeji, shoga yangu alinipeleka kwa Mganga mmoja anayeitwa MUNGU WAKABILI, ambaye ni Mganga aliye bobea sana katika masuala ya UCHAWI NA UGANGA. Wakati naenda kumuona huyu mganga, tayari nilikuwa nimeanza uhusiano na mwanaume mmoja lakini na yeye akawa haeleweki heleweki. MUNGU WAKABILI, alinipa dawa ya mapenzi ambayo imenifanya nijutie kuitumia , kwani baada ya kumfanyia dawa mwanaume huyo, AMENIPENDA KUPITA KIASI! YANI AMEKUWA KAMA ZEZETA KABISA! Alikuwa na mke wa ndoa na watoto watatu, ila amewatelekeza wote na kuja kuishi na mimi. Nyumba aliyo jenga na mke wake ameiuza na kuninunulia mimi nyumba nyingine ili tuishi pamoja, kama hiyo haitoshi alikuwa na magari mawili moja amempa mdogo wangu wa kiume, jingine ameliuza na kunifungulia duka la nguo Kinondoni. Ni mambo mengi sana, yote siwezi kuelezea, ila kibaya zaidi ni kwamba, sasa ameshindwa kuendelea na biashara zake,anataka kuwa na mimi wakati wote kwa sababu amekuwa na wivu sana, anahisi akiniacha hata kwa dakika mbili tu nitaibiwa na mwanaume mwingine. Kibaya kuliko vyote sasa ndugu wa mume, mke wake na ndugu wa mke wake, wameanza kunitishia maisha yangu . Nilijaribu kwenda kumuomba huyu MUNGU WA KABILI anipe dawa ya kumrudisha huyu mwanaume katika hali yake ya kawaida lakini amegoma kufanya hivyo, anasema yeye hawezi kuharibu dawa aliyo kwisha itengeneza tayari na kwamba alinionya mapema.. Hapa nipo njia panda na sijui hatma ya jambo hili, natamani nikimbie mji lakini nashindwa. Nimeamua kuandika waraka huu ili kwanza, kuwaonya wanawake wenzangu waachane na MAPENZI YA KICHAWI ili yasije kuwakuta kama yaliyo nikuta mimi, kwani naona wanawake wengi sana, wa Dar Es salaam, wanamkibilia mtu huyu kwa ajili ya kupata dawa za mapenzi.. Nakuonya usifanye hivyo mwanamke mwenzangu, kwani mtu huyu licha ya kuwa na umri mdogo tu tena wa miaka chini ya thelathini, lakini dawa zake ni za hatari sana na zina nguvu za ajabu sana! Usijaribu kabisa mwanamke mwenzangu, utaumbuka,kwani kila mtu atajua umetumia uchawi! Lakini, pili, ninawaomba wanawake wenzangu mnisaidie kumshawishi MUNGU WA KABILI ili amrejeshe huyu mwanaume katika hali yake ya kawaida.. Naweka namba za simu za MUNGU WA KABILI hapa na ninaomba sana, umalizapo kusoma waraka huu, umpigie simu au kumtumia meseji huyu Dokta. MUNGU WA KABILI kupitia simu yake ambayo ni 0753106197, mwambie, Mama Jesca anapata shida sana, na sasa ameanza kusambaza vipeperushi mtaani akielezea jinsi ulivyo mfanyia kitu kibaya. Naamini hili linaweza kumshawishi na hatimaye kumrudisha kaka wa watu kwenye hali yake ya kawaida.

Namba za MUNGU WA KABILI ni 0753106197..UBARIKIWE SANA!

kweli wajinga ndo waliwao,mameno yote hayo nia kubwa ni kumpromoti huyo mchawi mwenzako.wabongo bana,lakini wapo wajinga wajinga wengi watakamatwa sana na huu mtego.mnaopenda uchawi nendeni mkafilisiwe,2mbav zenu kabisa wachawi wote
 
Huyu ni mganga mwenyewe ndo kasambaza vipeperushi anajitangazia biashara and am very sure atapata wateja wengi sana,.

Inawezekana pia, coz mjini hapa
 
MUNGU WA KABILI kwa lugha ya kisukuma maana yake ni MUNGU WA PILI, huyu jamaa inaonekana atakuwa na ukoo ama unasaba na Mganga/Mchawi mmoja mkali sana, aliyekuwa akiitwa kwa jina hilo hilo la MUNGU WA KABILI ( Tamka MUNGU WA KABHILI ), Huyu aliishi katika wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, kwa mujibu wa jamii ya watu wanao amini katika uchawi waishio kanda ya Ziwa, nguvu za kichawi za Mungu wa Kabili, zilikuwa zinafananishwa na kulinganishwa sana na nguvu za Mchawi Mkuu wa Tanzania aliye itwa Mwanamalundi.. Huyu Mungu wa Kabhili (original ) ambaye kwa sasa ni marehemu, alikuwa na darasa la kufundisha uchawi nyumbani kwake, wachawi kutoka katika maeneo mbalimbali ya Tanzania, na dunia nzima kwa ujumla, walifika kwake kwa ajili ya kujifunza uchawi, miongoni mwa raia wa kigeni walio fika kujifunza uchawi kwa huyu Mungu wa Kabhili, ni mzungu mmoja raia wa Belgium ambaye alikuwa anafanya PHD ya uchawi, mzungu huyu alijifunza uchawi kwa Mungu wa Kabili kwa takribani miaka mitatu na alipotoka hapo, alikuwa amewiva sana katika mambo haya ya kichawi, alijenga nyumba kubwa sana pale Misungwi kama shukurani kwa Mganga/Mchawi Mungu wa Kabhili.. Mungu wa Kabhili, alifariki mwanzoni mwa miaka ya 2000 lakini ameacha mamia ya wafuasi wake ambao aliwafundisha uchawi, sina uhakika kama huyu naye ni mfuasi wake, au coincidence au Mungu wa Kabili alikuwa role model wake katika mambo ya kichawi..Lemme do more research about this, ila jamani uchawi upo na una nguvu sana!
 
Mwingine huyu hapa, haya mambo kumbe hadi wazungu wanayahusudu!
 
Attachments

  • mzungumcahwi.jpg
    mzungumcahwi.jpg
    27.9 KB · Views: 333
Wewe Mungu wakabili haokotwi mtu hapa na promo zako. Wenye akili zetu tumeshakustukia, hakuna cha mama Jesca wala mama Hadija, ni wewe mwenyewe umeamua kujitangaza. Utawapata wajinga tu!
 
Yaani hii haihitaji akili ya Chuo chochote. Hakuna cha Mama Jesca wala nani hapa. Aliyeandika ujumbe huu ni Yeye mwenye we MUNGU WAKABILI
 
Ushajichukulia mtaji na kumfilisi kaka wa watu na sasa unataka kumwacha kwa gia za ajabu ajabu na baada ya kutimiza dhima yako
 
Janja ya Nyani hii.........hilo lilikuwa ni tangazo la biashara.
 
Huyu ni mganga mwenyewe ndo kasambaza vipeperushi anajitangazia biashara and am very sure atapata wateja wengi sana,.

Hata mimi nimehisi kitu cha namna hii! Hakuna mama jesca hapa hii ni marketing pure and simple!
Hivi wanawake wengi wana shida ktk mapenzi na mahusiano yaani watammiminikia mpk atakimbia!

Hii ni hatari!!
 
wanaume mmezid acha mfanyiziwe tuu alimuachaje mke wake wa ndoa na kwenda kwa huyo mamajesca acha yampate
 
Nimekutana na kipeperushi hiki leo maeneo ya posta jijini Dar es salaam.

OGOPA MAPENZI YA KICHAWI:
Naitwa ,Mama Jessica, ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, mkaazi wa Tabata, Dar Es salaam.. Baada ya kuumizwa sana na wanaume katika mapenzi, niliamua kutafuta mganga wa kienyeji, shoga yangu alinipeleka kwa Mganga mmoja anayeitwa MUNGU WAKABILI, ambaye ni Mganga aliye bobea sana katika masuala ya UCHAWI NA UGANGA. Wakati naenda kumuona huyu mganga, tayari nilikuwa nimeanza uhusiano na mwanaume mmoja lakini na yeye akawa haeleweki heleweki. MUNGU WAKABILI, alinipa dawa ya mapenzi ambayo imenifanya nijutie kuitumia , kwani baada ya kumfanyia dawa mwanaume huyo, AMENIPENDA KUPITA KIASI! YANI AMEKUWA KAMA ZEZETA KABISA! Alikuwa na mke wa ndoa na watoto watatu, ila amewatelekeza wote na kuja kuishi na mimi. Nyumba aliyo jenga na mke wake ameiuza na kuninunulia mimi nyumba nyingine ili tuishi pamoja, kama hiyo haitoshi alikuwa na magari mawili moja amempa mdogo wangu wa kiume, jingine ameliuza na kunifungulia duka la nguo Kinondoni. Ni mambo mengi sana, yote siwezi kuelezea, ila kibaya zaidi ni kwamba, sasa ameshindwa kuendelea na biashara zake,anataka kuwa na mimi wakati wote kwa sababu amekuwa na wivu sana, anahisi akiniacha hata kwa dakika mbili tu nitaibiwa na mwanaume mwingine. Kibaya kuliko vyote sasa ndugu wa mume, mke wake na ndugu wa mke wake, wameanza kunitishia maisha yangu . Nilijaribu kwenda kumuomba huyu MUNGU WA KABILI anipe dawa ya kumrudisha huyu mwanaume katika hali yake ya kawaida lakini amegoma kufanya hivyo, anasema yeye hawezi kuharibu dawa aliyo kwisha itengeneza tayari na kwamba alinionya mapema.. Hapa nipo njia panda na sijui hatma ya jambo hili, natamani nikimbie mji lakini nashindwa. Nimeamua kuandika waraka huu ili kwanza, kuwaonya wanawake wenzangu waachane na MAPENZI YA KICHAWI ili yasije kuwakuta kama yaliyo nikuta mimi, kwani naona wanawake wengi sana, wa Dar Es salaam, wanamkibilia mtu huyu kwa ajili ya kupata dawa za mapenzi.. Nakuonya usifanye hivyo mwanamke mwenzangu, kwani mtu huyu licha ya kuwa na umri mdogo tu tena wa miaka chini ya thelathini, lakini dawa zake ni za hatari sana na zina nguvu za ajabu sana! Usijaribu kabisa mwanamke mwenzangu, utaumbuka,kwani kila mtu atajua umetumia uchawi! Lakini, pili, ninawaomba wanawake wenzangu mnisaidie kumshawishi MUNGU WA KABILI ili amrejeshe huyu mwanaume katika hali yake ya kawaida.. Naweka namba za simu za MUNGU WA KABILI hapa na ninaomba sana, umalizapo kusoma waraka huu, umpigie simu au kumtumia meseji huyu Dokta. MUNGU WA KABILI kupitia simu yake ambayo ni 0753106197, mwambie, Mama Jesca anapata shida sana, na sasa ameanza kusambaza vipeperushi mtaani akielezea jinsi ulivyo mfanyia kitu kibaya. Naamini hili linaweza kumshawishi na hatimaye kumrudisha kaka wa watu kwenye hali yake ya kawaida.

Namba za MUNGU WA KABILI ni 0753106197..UBARIKIWE SANA!

OGOPA MAPENZI YA KICHAWI:

Naitwa ,
Mama Jessica, ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, mkaazi wa Tabata, Dar Es salaam.. Baada ya kuumizwa sana na wanaume katika mapenzi, niliamua kutafuta mganga wa

kienyeji, shoga yangu alinipeleka kwa Mganga mmoja anayeitwa
MUNGU WAKABILI, ambaye ni Mganga aliye bobea sana katika masuala ya UCHAWI NA UGANGA. Wakati naenda kumuona

huyu mganga, tayari nilikuwa nimeanza uhusiano na mwanaume mmoja lakini na yeye akawa haeleweki heleweki.
MUNGU WAKABILI, alinipa dawa ya mapenzi ambayo imenifanya nijutie

kuitumia , kwani baada ya kumfanyia dawa mwanaume huyo
, AMENIPENDA KUPITA KIASI! YANI AMEKUWA KAMA ZEZETA KABISA! Alikuwa na mke wa ndoa na watoto watatu, ila

amewatelekeza wote na kuja kuishi na mimi. Nyumba aliyo jenga na mke wake ameiuza na kuninunulia mimi nyumba nyingine ili tuishi pamoja, kama hiyo haitoshi alikuwa na magari mawili

moja amempa mdogo wangu wa kiume, jingine ameliuza na kunifungulia duka la nguo Kinondoni. Ni mambo mengi sana, yote siwezi kuelezea, ila kibaya zaidi ni kwamba, sasa ameshindwa

kuendelea na biashara zake,anataka kuwa na mimi wakati wote kwa sababu amekuwa na wivu sana, anahisi akiniacha hata kwa dakika mbili tu nitaibiwa na mwanaume mwingine. Kibaya kuliko

vyote sasa ndugu wa mume, mke wake na ndugu wa mke wake, wameanza kunitishia maisha yangu . Nilijaribu kwenda kumuomba huyu
MUNGU WA KABILI anipe dawa ya kumrudisha huyu

mwanaume katika hali yake ya kawaida lakini amegoma kufanya hivyo, anasema yeye hawezi kuharibu dawa aliyo kwisha itengeneza tayari na kwamba alinionya mapema.. Hapa nipo njia

panda na sijui hatma ya jambo hili, natamani nikimbie mji lakini nashindwa. Nimeamua kuandika waraka huu ili kwanza, kuwaonya wanawake wenzangu waachane na
MAPENZI YA KICHAWI ili

yasije kuwakuta kama yaliyo nikuta mimi, kwani naona wanawake wengi sana, wa Dar Es salaam, wanamkibilia mtu huyu kwa ajili ya kupata dawa za mapenzi.. Nakuonya usifanye hivyo mwanamke

mwenzangu, kwani mtu huyu licha ya kuwa na umri mdogo tu tena wa miaka chini ya thelathini, lakini dawa zake ni za hatari sana na zina nguvu za ajabu sana! Usijaribu kabisa mwanamke

mwenzangu, utaumbuka,kwani kila mtu atajua umetumia uchawi! Lakini, pili, ninawaomba wanawake wenzangu mnisaidie kumshawishi
MUNGU WA KABILI ili amrejeshe huyu mwanaume

katika hali yake ya kawaida.. Naweka namba za simu za
MUNGU WA KABILI hapa na ninaomba sana, umalizapo kusoma waraka huu, umpigie simu au kumtumia meseji huyu Dokta. MUNGU WA

KABILI
kupitia simu yake ambayo ni 0753106197, mwambie, Mama Jesca anapata shida sana, na sasa ameanza kusambaza vipeperushi mtaani akielezea jinsi ulivyo mfanyia kitu kibaya. Naamini hili linaweza kumshawishi na hatimaye kumrudisha kaka wa watu kwenye hali yake ya kawaida.

MKUU LIKUD uwe unapnga hivi kama nilivyo panga mimi Maandishi yako hayasomeki vizuri.
 
Back
Top Bottom