Mpenzi wangu wa zamani kaokoka

Mpenzi wangu wa zamani kaokoka

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
838
Reaction score
135
Wana JF nina swali hivi hii kasi ya kina dada wa leo kuokoka katika mji wetu huu wa Dar ni nini?mimi nilikuwa na mpenzi wangu tumefanya naye yote duniani yaani sio mabaya ila kwa mfano kinywaji na mengineyo ya kidunia,nashangaa kaniambia kaokoka na sikutegemea mtu kama yeye,je ni ni kinawasibu hawa dada zetu kwenda kwenye hizi dini zetu mpya?
 
Anajutia dhambi mlizokuwa mkifanya nae hivyo mwenzako ni kiumbe kipya.Wewe endelea kushangaa hivyo hivyo siku ukishutuka uko ndani ya moto waungua.
 
Hiyo ndo fashen mpya kwa wadada na wamama,tegemea iende hadi miaka kumi mbele,itatoweka yenyewe.maana watakua wameshachoka kumsubiri huyo wanaemsubiria.
 
Sasa kama kaokoka na ni ex wako wewe inakuhusu nini?? Huna mambo mengine ya kufanya?? je, umeshindwa kumuuliza kwanini kaokoka au unafikiri ana moyo mgumu ka wa kwako?
 
Heheh ngoja nipite zangu kimya tu...
 
Sasa kama kaokoka na ni ex wako wewe inakuhusu nini?? Huna mambo mengine ya kufanya?? je, umeshindwa kumuuliza kwanini kaokoka au unafikiri ana moyo mgumu ka wa kwako?
Kuokoka sawa na hainihusu kuokoka kwake ni yeye na mungu wake,ila tunakutana na wadada wengi hapa mjini wameokoka ila nyuma ya pazia ni balaa.
 
Huwezi kusema umeokoka wakati bado uko duniani na shetani yupo.Yesu alikufa msalabani ili aaminiye apate kuokolewa.Hakuna binadamu asiekosa dhambi.
 
Wana JF nina swali hivi hii kasi ya kina dada wa leo kuokoka katika mji wetu huu wa Dar ni nini?mimi nilikuwa na mpenzi wangu tumefanya naye yote duniani yaani sio mabaya ila kwa mfano kinywaji na mengineyo ya kidunia,nashangaa kaniambia kaokoka na sikutegemea mtu kama yeye,je ni ni kinawasibu hawa dada zetu kwenda kwenye hizi dini zetu mpya?

kapata bwana wakumuoa ambaye ni mlokole sosi dada Aggy wa Moro
 
Huwezi kusema umeokoka wakati bado uko duniani na shetani yupo.Yesu alikufa msalabani ili aaminiye apate kuokolewa.Hakuna binadamu asiekosa dhambi.

that is why I am an Atheist and i don't need a question to my new system of life..
 
Huwezi kusema umeokoka wakati bado uko duniani na shetani yupo.Yesu alikufa msalabani ili aaminiye apate kuokolewa.Hakuna binadamu asiekosa dhambi.
niko sawa na wewe kabisa kimawazo mkuu.
 
hapa kinacholeta shida ni kule njoo tukumbushane,maana kama ex wako kinakuuma nini akiokoka?
 
Back
Top Bottom