Shikamoo Mwenye nyumba!!!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,955
156,157
MWISHO WA MWEZI HUOOO NDIO UNAZIDI KUJONGEA, PANGO NALO HILO LINAZIDI KUTOKOMEA.
NIFANYEJE ZAIDI YA KUWA NAMUAMKIA BABA MWENYE NYUMBA SHIKAMOO KILA NINAPOONANA NAYE?
MCHANA, USIKU, JIONI, ALASIRI NAMWAGA TU SHIKAMOO ZISIZO NA IDADI.
KALE KAMWANAFUNZI KA FORM TUU, NILIKOKUWA NIKINJUNJI NAKO KWA STAILI YA MUHESHIMIWA WA AKUDO NAKO KANANIKABA, KANATAKA KAHAMIE KWANGU, VINGINEVYO KATAENDA KUNISHTAKI Polisi KUWA NIMEKABAKA NA KUAAMBUKIZA UKIMWI.
PIA KANA JINGINE, ETI NIMEKAMIMBISHA, JAMANI, SWALI LANGU NI KWAMBA, JE MTU UKIGONGA KONYAGI ZAKO ZA KUTOSHA VIMIMINIKA VINATOKA? MI NAJUA HAVITOKI, SASA NASHANGAA HUYO MIMBA ANAYESEMA NIMEMPA KATOKEA WAPI?
SHIKAMOO BABA MWENYE NYUMBA, USIONE NAKUAMKIA KILA TUPISHANAPO KORIDONI, MWENZIO MWAKA WA NJAA NDIO HUU.
YULE BEKITATU WA JIRANI A.K.A KIDAGAA KAMA chama ANAVYOMUITA NAYE KAKOMAA, ETI KACHOKA NA UBEKI TATI ANATAKA KUWA MAMA MWENYE CHUMBA.
SHABASHHH..., BADO YULE DADA WA PALE GROSARI YA JIRANI, YULE ANAYENIKOPESHAGA VILOBA, SI NAYE ANAYTAKA KUWA MAMA MWENYE CHUMBA!!!
ANAJISIFIA KUWA YEYE NI MTAFUTAJI, ETI ATAKUWA AKIWACHUNA WANAUME HUKO, ILI ACHANGIE BILI ZA UMEME NA MAJI. MAKUBWA HAYA YAMENIFIKA MIE MWANA WA MPIGA ZUMARI.
MOJA HAIKAI MBILI HAIKAI, NIKIONA BABAMWENYE NYUMBA ANAKATISHA MBELE YA MLANGO WA CHUMBA CHANGU NAHISI KABISA TUMBO LIKIYEYUKA NA KUWA TUMBO MVURUGO. mwaJ NA MUMEO Mwita Maranya HAWA NI NDUGU ZANGU KABISA, NIMEWAOMBA MWISHO WA MWEZI HUU KAMA YULE KIJANA WAO WA KAZI HAJAMALIZA LIKIZO BASI NIMSAIDIE KUPIGAPIGA MZIGO, WAMENIGOMEA, ETI KWA SABABU JINA LANGU HALIKAUKI KWA MDOMONI MWA YULE HAUSI GELI WAO Paloma.
TENA WAMEENDA MBALI ZAIDI KWA KUSEMA HATA YULE MTOTO WAO MLOKOLE Zion Daughter, AKINIONAGA HUWA HAWEKI TENA MAHUBIRI YA YULE NABII WA SIMIKE, ANAWEKA MANYIMBO YA diamond TU. ETI ANANIFIKISHIA UJUMBE.
JAMANI, BABA MWENYE NYUMBA, MWENZIO NAPIGA DUA, JUA LISIMAME NA SIKU ZISIENDE MBELE.
KWELI JIJI HILI HAMNA KITU KINACHOPASUA KICHWA KAMA KODI YA NYUMBA.
GHAA....


WELCOME HOUSE
pic+2.JPG
 
Last edited by a moderator:
pole sana mkuu
ila dah aise hayo makazi yako ni duni sana mkuu nakushauri ubadilishe sehemu ya kuishi
 
Daah majanga hayo na usikute huyo father house ni mdogo kwako kiumri
 
yaani unachukulia masihara wakati le mutuz washamwambia analiwa tigo kisa kumtetea mzee wa akudo..
 
Ha ha ha ha ha kwa kweli lazima shikamoo imetembelee baba mwenye nyumba hata mara mia kwa siku.
 
raha ya choo hiki mvua ikinyesha unakuwa huna gharama wewe unaingia na sabuni tu
 
ningekuwa na uwezo wa kuufunga huu uzi ningesha ufunga, yani Bujibuji kachana live bila chenga. Natamani nimpige ban, mods plz msaada.
Mambo ya kusemana sio mazuri.
Mi nikajua kwamba Bujibuji keshafuzu yale mafunzo ya Pasco ya power within na telepathy..yaani kama anaelezea yale yanayonikabili mimi..salute Mkuu .
 
Bujibuji kodi unamalizia lini. kuna wapangaji wapya wananisumbua kutaka kuhamia
 
pole sana mkuu
ila dah aise hayo makazi yako ni duni sana mkuu nakushauri ubadilishe sehemu ya kuishi

Hayo makazi duni kodi imeshamshinda, akihamia kwingine si itakuwa even a bigger problem?
Ila namuombea ili janga hili lihamie kwa Bishanga.
 
Back
Top Bottom