Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210K
Threads
7.5K
Posts
210K

JF Prefixes:

Kwa mda mrefu nimekuwa nikiwatafakari kaka zangu wakisukuma, haswa walio kulia vijijini na sasa wapo mjini na pia mambo yao ni mazuri kwa kulingana na backgroung zao, kitu kimojaninachongundua...
1 Reactions
150 Replies
38K Views
wapenzi wana jukwaa la mmu, habari zenu! mwenzenu nasumbuliwa na ndoto kila leo naota ndoto mpya, kila moja na kisanga chake, halafu cha ajabu huwa haziishi, yaani scene hazimaliziki, zinaishia...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Mimi n mwanaume wa miaka 21 sijawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?
0 Reactions
113 Replies
15K Views
Assume kwamba wewe umemkosea mpenzi wako, as we say umecheat somewhere na amekugundua kabisa kwamba umtenda kosa!!! sasa pointi inakuja hapa, je utafanya vitu gani mpaka umfanye mwenzi wako...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Usagaji ni hali hali ya mwanamke kumfanyia mwanamke mwenzake vitendo vya mapenzi na ngono Ni sawa na kusema usenge au kwa wanaume, na kama ilivyo kwa wanaume kuwa kuna ------, basha na...
0 Reactions
74 Replies
12K Views
Habari za weekend wadau wa MMU??? Tangu nimejitambua sikuwahi kusikia kuhusu mila na desturi hizi, juzi kati ndo nilianza kusikia. Sijui kama zina ukweli wowote??? 1. Iwapo mtoto akizaliwa...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Naandika kwa nia nzuri ,wala si kuwahukumu watu ila najua iatwafumbua macho wengi! Aidha nimeleta kwenye jukwaa hili makusudi kwa itagusa sana mahusiano ! Hivi karibuni nilipokea wageni toka...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!! Kichuna wa kizaramoNIsieisha utamu! Bazazi wa JF Headquater ya mikwara! The Boss wa JF wewe unasema nini? Mtasema...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega ...
8 Reactions
81 Replies
6K Views
Napata wakati mgumu sana nifikiriapo wanawake hasa kwenye jambo la mapenzi....Unakuta mwanamke anamwambia mwanamume wake kwa kuomba anyonywe chini hata bila yakuzingatia maumbile yake! mwanaume...
0 Reactions
78 Replies
9K Views
Dah!my love huyu,sijui anafikiri kwenye oblongata yake mimi nina bustani ya miti ya pesa?au nimemzoesha vibaya?anway it is called life and sometimes it may happen.Eti naomba mnijuze,kujali maana...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
habari wakuu...nimekuja jukwaani na munkari kwa sababu nafsi yangu ina hatia..najihisi mkosaji..lakini poa ngoja niwadokezee...nina swahiba wangu ambaye miaka miaka mitano iliyopita alifunga...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu wana Jf natafuta marafik wa kuchat nao jinsia yoyote sibagui Ukiwa tayari Email yangu hii www.yasinimhindi@gmail.com Facbook www.facebook.com/yasini.mhindi Twitter...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi, ni j2 nyingine tupo pamoja lakini nimeona leo niwashirikishe jambo lililonistaajabisha na hata kushindwa kuamini. Nikiwa ktk shughuli zangu ugenini na nimefikia lodge moja...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Utafiti uliofanywa na taasisi moja nchini Kenya inayojihusisha na maswala ya kijamii nchini humo imebaini kuwa wawanawake wanafonya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama (wadada poa) hutumia...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wadau, Nimekua nikona wanaume wenzangu wakiwa wanachagua sana mwanamke wa kua nae. Unakuta mtu anachagua sana mwanamke mpaka umri unasogea na hana permanent mwenza. Sasa katika kulitazama hili...
2 Reactions
58 Replies
29K Views
Tangu niingie huu ulimwengu,sijawahi kuumia na kukosa raha na amani tangu mpenzi wangu aniambie neno hili"HUNA JIPYA".For sure nimejiona mdogo kama piriton na nahc kama nimeshachuja.SITAKAA...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Mwanzoni mwa mwaka huu niliomba ushauri kuhusu mchumba wangu kukataliwa kupewa huduma alipoenda klinik nilipata majibu mazuri sana kutoka kwa watu mbali mbali waliopata nafasi...
0 Reactions
70 Replies
5K Views
Kama huna jambo/neno zuri la kuzungumza kuhusu mtu mwingine, nyamaza. Kama kuna ulazima wa kuzungumza hilo ulilonalo moyoni, basi mueleze mwenyewe. Jumapili njema wapendwa.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom