Hawayuni?
Kipindi hiki cha likizo ndefu Kenya na haswa watu wanaposherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya watu wengi hupenda kutembea baharini kama Mombasa.
Wengi hupenda kuogelea na...
Nawasalimu,
Haiwezekani baba mkwe kusema nimkopeshe hela halafu harudishi, karibia mwaka mzima sasa, mimi sina pesa za kuchezea
Haiwezi kuvuka 2 month kabla ya kupiga simu na kudai nimpe laki...
Habari zenu wana JF,
Yapata mwaka mmoja tangu kuachana na aliyekuwa mpenzi wangu.Tulipendana sana na tuliishi maisha ya furaha mda wote hatukuwai kukwaruzana na hii ni kutokana na kila mmoja wetu...
Habari za asubuhi wana jamvi.
Naleta kwenu utata huu unaoisumbua akili yangu, wengi mwaweza kuona kama jambo dogo lkn kwangu limekuwa mzigo mkubwa naomba msaada wa mawazo ili mahusiano yangu...
Habari za wakati huu wana MMU, nimekutana na hili sehemu mbili tofauti. Unakutana na mtu eneo fulani, tangia kupoteana yafika kama miaka 4 hamjaonana, tangia mko kijijini mlipotoka.
Unafurahi...
Habari za jumapili wanajamvi la MMU?
Huyu ni kaka yangu tumbo moja na aliyenilea na kunisomesha toka kidato cha kwanza mpaka cha nne ana mke na watoto watatu mmoja yuko form1 na wengine...
Habari wana jamvi?
Katika mahusiano kujuana vyema ni jambo la kawaida na raha sana, lakini je, unaweza mpenda mwenzi wako, kumzoea, kumjali n.k lakini ushindwe KUJAMBA MBELE YAKE?
watakaochukulia...
Habari zenu wakuu, Leo napenda kushare na nyinyi juu ya hili swala la lawama kwa pande zote mbili.
Siku hizi imezuka misemo utasikia eti "wanaume/wanawake walikuwa zamani bwana siku hizi hakuna...
Habar zenu wakuu.
Nimekuwa nikishangazwa na wana MMU wengi kuwa na tabia ya kutopuuzia thread yoyote inayowekwa kwa kuchangia tofauti na majukwaa mengine mnataka kuniambia ndo kukua kifkra?
Kwa kweli imebidi tu nije kulianzishia mada manake najiuliza sipati jibu kabisaaa!! But I don't intend to offend anybody!!
Kuna wadada wananichangazaga sana japo nakiri wazi ni very small...
Habari wadau..
Naona kelele za kuponda wadada wanapenda pesa nyingi na wahongaji wenyewe hawaonekani jinsi pilika zilivyo..
Maana nikiangalia mazingira yanayonizunguka kuanzia shule, chuo...
Habari
Nahitaji mwanamke mzuri, open minded na muaminifu tuwe partners katika mambo ya maisha tunayoendana lakini hasahasa kwa ajili ya kuridhishana kimwili na kuliwazana kama some sex, massage...
Habarini za mihangahiko wakubwa zangu najua wengi ni wakubwa kwangu waliomo humu ndani kwa hiyo naombeni mnisaidie Hili suala linalolisumbua sana akilini katika haya maisha kiasi cha kunipa...
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia
idadi kubwa ya wanawake wakitumia njia
mbalimbali kuhakikisha wanakuwa na makalio
makubwa. Wapo ambao wamekuwa wakitumia
dawa za Kichina licha ya...