Jamani naombeni mtazamo yenu kadiri utakavyoelewa...

bomouwa

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,149
800
Habari wana jamvi?
Katika mahusiano kujuana vyema ni jambo la kawaida na raha sana, lakini je, unaweza mpenda mwenzi wako, kumzoea, kumjali n.k lakini ushindwe KUJAMBA MBELE YAKE?
watakaochukulia uzi wangu ni upuuzi sawa lakini binafsi hiko kitu siwezi kabisakabisa ila mwenzangu hajambo ananipaga vitu amaizing.
naomba mtazamo wako.
 
Kama anakupa amazing reply hivo hivo, nikadhani yeye anabana... Kua Huru katika mahusiano, sio adhabu ile.
 
yaani huyo amekuonyesha kuwa hana anachokuficha. inaweza kusadia hata kufukuza wezi. hebu na wewe mwonyeshe uwezo wako.
 
yaani huyo amekuonyesha kuwa hana anachokuficha. Inaweza kusadia hata kufukuza wezi. Hebu na wewe mwonyeshe uwezo wako.
yani mimi nkisikia lazima niende toilet.. Siweezi kabisa
 
yaani huyo amekuonyesha kuwa hana anachokuficha. inaweza kusadia hata kufukuza wezi. hebu na wewe mwonyeshe uwezo wako.
HALAFU YEYE AKITOA VITU ANANIAMBIA KABISA "Baba x nakupa kitu sikiaaaaa..... pwaaaa" naonaga jambo la ajabu saaana
 
Sa kama kitu kidogo kujamba unamficha, ni mangapi utakua unayaficha
wala hakuna ninayomficha nampenda mnoo mke wangu lakini hilo swala ni gumu mnoo kwangu... kwani kuna mahusiano hapo kati ya kushindwa kujamba na kutompenda mtu dada?
 
Jiachie mwanawane ya nini kujibana maisha yenyewe mafupi haya...
hapana sio kwa kujiachia hvyo na sasa nimeishi na mke wangu huu mwaka wa 6 ila hilo jambo siwezi labda usiku nimeala sijijui ndo nimpe kitu lakini na akili zangu timamu siwezi mangi.
 
Habari wana jamvi?
Katika mahusiano kujuana vyema ni jambo la kawaida na raha sana, lakini je, unaweza mpenda mwenzi wako, kumzoea, kumjali n.k lakini ushindwe KUJAMBA MBELE YAKE?
watakaochukulia uzi wangu ni upuuzi sawa lakini binafsi hiko kitu siwezi kabisakabisa ila mwenzangu hajambo ananipaga vitu amaizing.
naomba mtazamo wako.

Kujamba ni afya wewe acha ubwege,kujamba kwa sauti ama kimyakimya,
 
hvi na hawa the so called warembo kama akina wema na jokate nao huwa wanajamba?
 
hvi na hawa the so called warembo kama akina wema na jokate nao huwa wanajamba?
Bro wasijambe kwani hawana mik.....u?ila wanajamba ki amazing... vile vya pyuuuuuuuuuuu sio kujamaba kama gentamycine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom