Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu baada ya kugegeda mabinti wa pande zote mbili yaani wa-uswazi na wa-kishua katika nyakati tofauti; USWAZI: Tamu ya watoto wa uswahilini...
7 Reactions
55 Replies
13K Views
Wanabodi Habari Zenu. Nimepata Mtihani Kama Sio Majaribu Kwani Mama Yangu Mlezi (Aliyenilea Mpaka Nimekua) Anaumwa Sana Huko Kijijini Kwetu Na Wakati Huohuo Mpenzi Wangu Aliyenizalia Mtoto...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari ya usiku wana JF, Nina mpenzi wangu wa muda mrefu kidogo na tunapendana tu sana na nimepanga kufanya mipango ya harusi hapo mwakani. Tatizo lililopo sasa ni dini yeye Mkristo na mimi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zeinyuuu mabibi na mabwana wa MMU, Poleni na hekaheka za kumaliza mwaka, maana mwisho wa mwaka una mambo wengine wanakesha kwa kufaha wengine wanajuta na kung'ata meno kwa huzuni kila mtu...
4 Reactions
45 Replies
52K Views
Naandika kwa masikitiko makubwa, nahitaji ushauri. Jamani wanaume mtatuua kwa matendo yenu.Ujirembe upike upakue ufanyeje bado mwanaume haridhiki, atatoka nje ya ndoa tuu.Wanawake wa siku hizi...
0 Reactions
149 Replies
14K Views
Kuna mada nimekutana nayo kijiweni jioni hii baada ya kutoka kazini ikanivutia sana Hoja Kali ziliibuka wengine wakawatetea na wengine wakapigilia msumari Mmoja alinistaajabisha sana na...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuna baba mmoja dodoma ni family friend wangu. Amefiwa na binti yake alikuwa form three. Hakuwa mgonjwa. Ameangalia season hadi saa tisa usiku alivyoenda kulala akafa usingizini. Saa. Mbili kasoro...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini mimi ni kijana nina miaka arobaini, nilikuwa na mwanamke nikazaa nae watoto wawili tukaachana kwa sababu za kutoelewana na mimi na ndugu majirani, kiufupi ni mwanamke mgomvi sana hawezi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Na galacha ��SWALI KWA WAVULANA WANAOISHI HOME! Ebu tuambiane ukweli katika hili please! Upo home unaishi na wazazi pamoja na dada yako, sasa msichana wako anakwambia bwana nataka...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Elimu Ya Bure Hii YOU MUST SHARE Sikutegemea kabisa kama angeweza kunifanyia hivi... Siku hizi amebadilika sana... Huyu ni msaliti.... Ni baadhi ya kauli ambazo watu hutumia baada ya kuumizwa na...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja nilikuwa na mahusiano naye siku za nyuma, Kadiri siku zilivyokuwa zinaenda nikaona mwenzangu tabia inabadilika, Nikimuhoji anakuwa mkali kuliko kawaida, yaani kama mwanaume mpole...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Wakuu natumaini wote wazima hivi kwanini wadada wengi wanakuwa wagumu kutoa namba za simu wakiwa kwenye sehemu ya watu wengi kama sokoni, balabalani,kanisani nini sababu?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndoa yangu ni changa na bado nahisi sijaifaidi bado. Kinachonitatiza ni msimamo na tabia za huyu mke wangu. Kama mwanaume huwa naongea nae mara kwa mara kumuelekeza ninachotaka na ninavyohitaji...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
kuna raia kauliza bhana sio mimi. Download Diamond Platinumz_utanipenda? | young sharo Artist: Diamond platinumz. Song: Je utanipenda? Tanta lala laaa La la la la laaaa Mmmmmh...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
nimebadili din 4/9/2015 wazaz wngu bado hawajui . sijawaambia siwez kuwaambia. sijaenda kanisan toka nimebadili din. christmas inakuja lazma wazaz wangu wataniambia tuende pamoja kanisan. sijajua...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nakumbuka Na Wengi Wenu Mtakubaliana Nami Kwa Kiasi Fulani Kuwa Humu Vyuoni Huwa Kuna Kuwa Na Couples Nyingi Ambazo Mara Nyingine Hutuaminisha Kuwa Huko Mbeleni Baada Ya Kumaliza Masomo Basi Pia...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu sihitaji kutukanwa maana its too late for that! n its a true story.... Nataka tu ku 'share nanyi my story.. We've dated for more than 4 years, mabonde na milima tumepitia..tumeshibana...
1 Reactions
150 Replies
16K Views
Habar zenu wana MMU, Mimi ni kijana mvulana middle twenties, nna mpenzi wangu nampenda sanaaaa, tatizo ni moja tu sina hamu ya kusex nae kabxa yaani nikijitaidi nampiga bao moja then stimu...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Wanajamvi salaam, Ilikuwa ijumaa tar.16/10/2015. Nilikuwa naelekea kumuona mzee mmoja kiongozi wa jumuiya ndogondogo huko kwangu nnakoishi maeneo ya Mbagala. Nikiwa njiani kabla sijafika kwa...
0 Reactions
93 Replies
12K Views
Tokea zamani wanawake shauku yao kubwa ni kutaka kuwateka (ningesema kumweka kiganjani lakini hilo neno ina ukali kidogo) waume zao, tatizo ni mbinu wanazotumia ndio zinawafelisha. Ukitaka...
1 Reactions
91 Replies
21K Views
Back
Top Bottom