Habari za asubuhi wana jamvi.
Naleta kwenu utata huu unaoisumbua akili yangu, wengi mwaweza kuona kama jambo dogo lkn kwangu limekuwa mzigo mkubwa naomba msaada wa mawazo ili mahusiano yangu na huyu dada yastawi zaidi. Naamini hapa ni mahali sahihi kwa jambo hili.
Ni hivi, miaka mitatu iliyopita nilimaliza masomo yangu ya chuo, na bahati nzuri sasa nipo na kazi, nilikutana na dada mmoja nikampenda hivyo nikajikoki nakumpata kama mpenzi kwa kweli sio mzuri sana ni wa kawaida na anatabia nzuri ambazo nimeridhika nazo na mapenzi anayajua pia.
Tatizo langu ni kwamba huyu mpenzi wangu ni darasa la saba licha ya kuwa ana akili za asili za maisha lkn bookish education hana.
Napata shida sana kumtambulisha kwa ndugu zangu nikiogopa na kuwaza sana kuwa hawa ndugu akiwemo baba na mama watanionaje? Naona kama gape la elimu ni kubwa sana degree na std VII?
Si ntaonekana sijiamini na ndio sababu nimechukua LY?
Na zaidi mchumba huyu pamoja na kunivumilia kwa hilo sasa ameanza kuona kama simpendi kwani sijamtambulisha kwa ndugu yeyote toka tuanze mahusiano.
Naomba msaada wenu wa mawazo nipate pa kuanzia au nini nifanye nipate courage, tafadhari sana sitahitaji matusi na kejeli ktk hili.