hi my name is john from dar i'm doctor looking for girls to chat with through whatspp my number is 0714540040 i like chatting so much specific with girls no specific requirment needed as long as...
Huyu kiumbe ni waajabu sana ,kiumbe asie na chuki aliejaa mapenzi yasiyo na kipimo,kiumbe ambae yuko tayari kukusamehe kwa kosa lolote utalomfanyia na akasahau kabisa,
kiumbe ambae yuko tayari...
Ni mama mwenyeji wa Kilimanjaro alikuwa anaishi mjini Moshi
nilipokutana naye mara ya mwisho mwaka 2006
Anaitwa Esther Massawe, na aliolewa na mwalimu wa Internationa School, bw.John Lee...
My topic, hopefully is clear. am looking for woman with an age of between 35-45 for a long term relationship.if at all she has children she shouldn't exceed 2 and if she had not happened to have...
Hi guyz,
Siku mpya jua jipya tabu za life zile zile hasa kwetu sisi tabaka la chini.Leo nataka jua kwanini mabinti hawasahau wapenzi wa zamani.Mfano: nilikua na mpenzi but sometimes alikua...
1.Success is not sexually transmitted, so stopsleeping with successful men and work hard.
2. Please do not wear the same weave for nine months, its not pregnancy. Atleast keep your natural hair...
Hi,
Naomba niwaguse sana ladies, kwan mara nying me anapo tongoza anajua nn anafanya either anataka kukuoa au chapa ilale asepe, lakini ke anakuwa hajui kitu zaid kesha ambiwa anapendwa basi...
MAAMUZI MAKUBWA ULIYOWAHI KUCHUKUA, ULIYAFANYA KWA HOFU AU UKUAJI?
Soma - Changia Mawazo yako -na Wengine Mjadala huu
Maamuzi yoyote tunayofanya kwenye maisha yetu, yamegawanyika katika aina...
Jamani waungwana hivi kuna ukweli kwa hili?
Mimi binafsi toka nimeoa navaa pete na niko huru nayo tu, na sioni ajabu pia, lakini nina rafiki yangu kaoa yeye daima hapendi hii kitu, tena zaidi...
Mimi sikuhizi sina marafiki, sijui ni sababu ya familia ama mtindo wa maisha, sasabasi natafuta marafiki ambao tutaanza kuwasiliana kwa whatsapp 0683157704. True friends jamani, hasa wakina mama...
Habari zenu wana Jf,
Wenzangu,
Kuna jambo lina nisumbua mwenzenu, mke wangu ana uja uzito wa miezi mitano, kila mda anataka kusex nikishinda nyumbani hiyo ndo kazi.
Kazini siendi nikitaka...
FANYA YAFUATAYO KUTATUA CHANGAMOTO UNAZOKUTANA NAZO KILA SIKU
Pale ambapo changamoto haikuhusu ni rahisi sana kutoa ushauri, kwa sababu hujashikwa hisia zako na changamoto hiyo na hivyo kuweza...
Visa vya kuzaa nje ya ndoa. Kijana alimwambia baba yake nimepata mchumba nataka kuoa, ni yule wa nyumba ya nyuma. Baba akamwambia
tafuta kwingine yule ni dada yako ila mama yako hajui usimwambie...
TATIZO LA KUKAA NA KINYONGO
Mjadala huu
Ni kwamba unakosa nafasi ya kufuatilia mambo mengine muhimu kwako.Unaweza kujiaminisha kwamba kinyongo ulichomwekea mtu unastahili kabisa.
Alininyanyasa...
Nawasalimia wote kwa pamoja wana JF.
Mda mrefu tumekuwa na shughuli za uchaguzi, sasa uchaguzi umeisha kwa asilimia kubwa.
Ni mwendelezo wa mada zangu zinazohusu elimu ya kiroho.Kwa utangulizi...
Wanajamiiforum salam...
Naomba mniambie kama inawezekana kupenda tena baada ya kuumizwa na mpenzi wako wa siku nyingi. Mpenzi mliepitia nae raha na shida kwa miaka mitano.
Kuna watu wanasema...
Habari wanajamvi,
Nilikua na mahusiano na mdada mmoja kabila lake muha, nilikaa nae kwa kipindi kirefu sana katika uhusiano wetu.Tulikubaliana kuzaa, na kweli iliwezekana, nikampa uja uzito...
Bwana Yesu Asifiwe!
Watu engi hawana tabia ya kufanya mambo kwa bajeti na kujikuta matumizi yanakuwa hayana control.
sasa ebu kila mtu aliye kwenye mahsiano ya Bf na Gf, jaribu kutupa tathmini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.