Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
10,811
Reaction score
11,031
Kwa kweli imebidi tu nije kulianzishia mada manake najiuliza sipati jibu kabisaaa!! But I don't intend to offend anybody!!

Kuna wadada wananichangazaga sana japo nakiri wazi ni very small population, lakini still najiuliza why wanabehave hivi?
Ngoja tu nitumie lugha ya kikubwa ili hata kama wamo humu JF basi wasiweze kujulikana, lakini ujumbe uweze kuwafikia na waweze kujirekebisha if possible.

Mdada wa kwanza namwita A, huyu mdada ameolewa, ana mtoto mmoja kama sikosei, ni msomi wa degree na ana kazi yake nzuri tu. So kipato kwake siyo ishu kabisa. Tatizo bana huyu dada hajipendi kabisaaa, yaani hadi ile ya kutia kinyaa. Always ngozi yake imepauka pau, mwanzoni nilidhani kasahau kupaka lotion, kumbe bana ndo alivyo, yaani yeye always ni mpauko. Basi acha ngozi basi, nywele nazo ni vile vile, no matunzo. Nguo anazovaa utafikiri hana kazi, daaah! Niliwahi kufikiria ningekuwa mumewe, nikagundua nafikiria the impossibles, nikabaki tu kusema No Way!!

Haya mdada wa pili namwita B. Huyu naye ni msomi wa degree pia, ana kazi yake pia nzuri tu, yeye hana hata mume, but she is still young anyway, nadhani yuko between 26-28. So naye kipato siyo ishu. Ila huwezi kuamini huyu dada hana hata pafyumu chumbani kwake, achilia mbali deodorant sijui nini. Ila msiniulize niliingiaje chumbani kwake. Viatu ana pea mbili, so anasomeka kabisa atatokea vipi!! Nguo sasa ni kituko, yaani nguo ni zile za ajabu ajabu tu, na ambavyo anavaa bila mpangilio sasa daaah!! Sidhani kama anaoga daily. Chumba chake ni simple zaidi ya simle nadhani, manake yale mazaga zaga tuliozoea kuona vyumbani kwa wadada, yeye kwake walaaaaa!!! Kuna wakati nafikiriaga suppose natafuta mchumba then nikakutana na huyu, for sure nitammwaga tu over time hakuna namna.

Nachoshangaa zaidi:
Wao (A na B) wanajiona wako poa kabisa, yaani hata hawajishtukii wala nini....life goes kama kawa

Najua usafi kwa kiasi kikubwa unategemea na malezi, ila ina maana huko walikopita sijue shule mabwenini sijui darasani walishindwa kukopi na kupesti kwa wenzao?

Najiulizaga huyo bwana wa A na boyfriend wa B, wao wanaona sawa tu? au nao ni wachafu vile vile? bahati mbaya siwajui wapenzi wao

Hivi mdada na elimu yako na pesa yako unashindwaje kunukia kwa mfano? yaani we upo upo tu na umelidhika, khaaaa!!

Au sijui ni matambiko?

Hebu naombeni mawazo na uzoefu wenu kuhusu hili aisee.

Kaka mkubwa Eli79 ulishakutana na hizi mambo bro?

Hebu sumbai twambie kama cute b ananukia bana

Au Kaboom ulimwacha atoto sababu ya hili? hivi binti yako Heaven Sent unamfundishaga na usafi kweli? usikute umekomalia akili za darasani tu

Mama mtafiti Blue G hili vipi, ulishaga lifanyia utafiti? hebu tupe mrejesho bana

What is you experience my dear NANDERA?

Ofcourse na wengine wote mnakaribisha
 
Last edited by a moderator:
hata mimi niko hivup so sioni cha kushangaa
 
Hivi wewe unapaka poda ?

kama unapaka kwa nini upake wakati mimi sipaki ?

kama hupaki je kwa nini hupaki wakati Ommy dimpoz anapaka hadi wanja ??

Nataka jibu
 
Afadhali kwa vigezo vya umri na kazi sipo A wala B maana nilishaanza kutetemeka!!

My kaka ndio tabia gani hii sasa? Au nyakoo kakutuma? Speaking of which yuko wapi huyu mtu? Ngoja aione hii akuletee msuto matataa mie simo.
 
Last edited by a moderator:
Dada B probably depressed.

Dada A probably overwhelmed

Halafu nilitaka nikumention pamoja na brenda18 ikanigomea bana, manake nyie bana mnaniachaga hoi sometimes

Kwa B naweza kukubaliana na wewe

Ila kwa A sidhani, coz hana busy life kabisa
 
Last edited by a moderator:
Afadhali kwa vigezo vya umri na kazi sipo A wala B maana nilishaanza kutetemeka!!

My kaka ndio tabia gani hii sasa? Au nyakoo kakutuma? Speaking of which yuko wapi huyu mtu? Ngoja aione hii akuletee msuto matataa mie simo.

Hahaaa kumbe nami leo nimetoa makavu live eeh, ila unitetee sista wakinisuta
 
Hahaaa kumbe nami leo nimetoa makavu live eeh, ila unitetee sista wakinisuta

Sikutetei ng'oooo nagongelea humo humo, huwezi tuchamba hivyo, viatu pea mbili unayajua majukumu yangu wewe, spray sh elfu 5 sijui, si bora ninunue umeme hiyo hela!
 
Mito hivi ni ke tu nso wanatakiwa waseme eeeeeh. nimejisahau oooops
 
Sikutetei ng'oooo nagongelea humo humo, huwezi tuchamba hivyo, viatu pea mbili unayajua majukumu yangu wewe, spray sh elfu 5 sijui, si bora ninunue umeme hiyo hela!

Anataka dada wa watu ajaze shoe rack. Atoe wapi hio hela, ulimpa? Usikute Kuna mjinga kamzengua huko kaona isiwe shida, my kikwapa why you bother. Jamani msione watu mitaani, many people are depressed bongo hii
 
Hela zenyewe kila siku wanapeana kicheni pati humu wasitupatie, wakati wanajua kabisaaa mwanamke gharama, kila kiungo gharama, tukijinyima maisha yaende wanatunanga tena!! Jamani nyie wanaume mnataka nini?
 
Sikutetei ng'oooo nagongelea humo humo, huwezi tuchamba hivyo, viatu pea mbili unayajua majukumu yangu wewe, spray sh elfu 5 sijui, si bora ninunue umeme hiyo hela!

Hahaaaaa umenichekesha balaaa, kwahiyo na wewe hunukii dadaangu?

Ila tuache utani sista, we kweli hujawahi kutana na wadada wa hivyo? hebu recall vizuri huko mashuleni sijui chuo, huko mabwenini
 
Back
Top Bottom