Sazira kwetu
Senior Member
- Aug 23, 2015
- 155
- 104
Habari za jumapili wanajamvi la MMU?
Huyu ni kaka yangu tumbo moja na aliyenilea na kunisomesha toka kidato cha kwanza mpaka cha nne ana mke na watoto watatu mmoja yuko form1 na wengine primary.Yeye anafanya kazi Jeshi la police na anacheo kikubwa na nyota za kutosha begani na ana mkoa anauongoza kama mkoa wa kitengo.
Tabia yake inayomtafuna ni kuwa sio mtu wa kutunza siri, sio mtu mtulivu na makini,ni mtu wa kukurupuka katika maamuzi yake mke wake amekuwa na tabia ya kuingiza mwanaume ndani kwake na kulala nae, sasa ukimwambia kaka taarifa ili afanye utafti na ajiridhishe, yeye atapiga simu na kumwambia mke wake kuwa furani ameniambia kila kitu,na kusababisha kuchukiwa na shemeji yetu.
Tumejitahdi kumwambia afanye uchunguzi na achukue hatua lkn yeye hukurupuka na kuropoka na kumwambia kila kitu na sisi kuonekana wabaya kwa mke wake.Sasa tuna mdogo wetu anakaa kwake huku akifanya kazi kwenye kampuni furani amekuwa akimtuhumu kwa nini shemeji yake anaingiza mwanaume harafu hampi taarifa,sasa tumsaidiaje?