Maajabu ya jukwaa hili yanayonitatiza

Maajabu ya jukwaa hili yanayonitatiza

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Habar zenu wakuu.
Nimekuwa nikishangazwa na wana MMU wengi kuwa na tabia ya kutopuuzia thread yoyote inayowekwa kwa kuchangia tofauti na majukwaa mengine mnataka kuniambia ndo kukua kifkra?
 
Hili jukwaa ni kiboko kwa kweli.

Ikitokea thread haieleweki wataanza kuitana wapige stories zao. LOL! Safi lakini.
 
Mkuu Hili jukwaa lina wachangiaji wengi ukiacha jukwaa la siasa.
Pili topic za huku ni Rahisi sana,kuliko Majukwa Mengine.haziitaji utalaam Mwingi.

Halafu kama ulivyoambiwa hapo juu,Thread ikiwa ya kipuuzi sana,Basi wadau wataitana kupiga story

Mimi sijawahi kuchangia katika hili jukwaa na Kamwe sitokuja kufanya hivyo.

hahaha.
 
sijakupata mkuu.
 
Back
Top Bottom